WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUWASILI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-E5fQ5YM7DN8/ViIP3yhiwkI/AAAAAAAIAhg/gzUTyq1s5t8/s72-c/New%2BPicture.bmp)
EAST AFRICAN COMMUNITY
![](http://4.bp.blogspot.com/-E5fQ5YM7DN8/ViIP3yhiwkI/AAAAAAAIAhg/gzUTyq1s5t8/s1600/New%2BPicture.bmp)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKUNDI la waangalizi wa uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, wanatarajia kuwasili Dar es Salaam Jumapili, tarehe 18 October 2015 tayari kwa uangalizi wa uchaguzi kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.
Kuwasili kwa kundi la Jumuiya ya Afrika Mashariki lenye takribani watu hamsini na tano, ni kuitikia mwaliko kutoka kwa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
10 years ago
VijimamboMWANAHARAKATI WA BURUNDI AOMBA MKUTANO WA KESHO WA MARAISI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOMRUHUSU RAIS NKURUNZIZA KUTOGOMBEA MUHULA WA TATU
9 years ago
MichuziWaangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Sep
Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua.
Bibi Judith Sargentini Mbunge wa Bunge la ummoja wa Ulaya Friday, September 25, 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kazi ya waangalizi wa muda mrefu itairuhusu EU EOM kufanya tathmini ya kina ya mchakato wa […]
The post Waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Umoja wa Ulaya watua. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Marais wastaafu Afrika kuongoza waangalizi Uchaguzi Mkuu
Marais wastaafu; Goodluck Jonathan wa Nigeria na Armando Guebuza wa Msumbuji wataongoza jopo la waangalizi wa kimataifa wanaotarajiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WRbOx3AwYzw/VOfHIbFbqqI/AAAAAAAHE3g/gIRkJ0e9umM/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
JK akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki
Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita "Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FaTgM70WgZs/VRVnOg6X6XI/AAAAAAAHNpY/uM5TdUwSy_A/s72-c/EAC-logo1.png)
NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
![](http://2.bp.blogspot.com/-FaTgM70WgZs/VRVnOg6X6XI/AAAAAAAHNpY/uM5TdUwSy_A/s1600/EAC-logo1.png)
Nawatumia nafasi 13 za ajira mbalimbali zilizotangazwa na Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashari. Mjulishe ndugu, jamaa, au rafiki ili anufaike na fursa hizi. Kwa taarifa na maelekezo zaidi tafadhali tembelea http://www.eac.int/index.php?option=com_docman&Itemid=186
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eZg7v_xZEmE/VHVUxU5FHPI/AAAAAAAGzbQ/Wxpx2sITjh8/s72-c/unnamed.jpg)
Tanzania Kuchukua Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
![](http://3.bp.blogspot.com/-eZg7v_xZEmE/VHVUxU5FHPI/AAAAAAAGzbQ/Wxpx2sITjh8/s1600/unnamed.jpg)
Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania