Waangalizi waane waachiliwa Ukraine
Shirika la usalama na ushirikiano wa ulaya OSCE limesema kuwa waasi mashariki mwa Ukraine wamewaachilia waangalizi wengine wanne .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
Waangalizi wa Ulaya wazuiliwa Ukraine
Waangalizi wa Ulaya waliotumwa katika eneo la ndege ya Malaysia Airline iliangushwa wamezuiliwa kuona mabaki ya ndege hiyo.
11 years ago
BBCSwahili03 May
Ukraine yawaachia waangalizi wa OSCE
Waangalizi 7 wa kimataifa waliokamatwa siku nane zilizopita na wanaharakati wanaounga mkono Urusi,wamewachiliwa huru.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wanahabari 2 wa Aljazeera waachiliwa
Mahakama moja nchini Misri imeagiza kuachiliwa kwa dhamana kwa wanahabari wawili wa Aljazeera
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Watawa waachiliwa huru Syria
Imethibitishwa kuwa waasi nchini Syria wamewaachilia huru watawa 13 na wafanyikazi 3 wa nyumbani waliotekwa nyara mwaka jana
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
Wasaidizi waachiliwa huru Darfur
Wafanyakazi wa shirika la misaada Darfur waachiliwa huru baada ya mwezi mmoja
11 years ago
BBCSwahili01 Jun
Makasisi waliotekwa nyara waachiliwa.
Makasisi wawili kutoka nchini Italy pamoja na mwanamke mmoja raia wa Canada waliotekwanyara na kundi la Boko Haram wameachiliwa
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Sudan Kusini:Wanasiasa 4 waachiliwa
Serikali ya Sudan Kusini imewaachilia wanasiasa wanne waliokamatwa kwa madai ya kuhusika na njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Salva Kiir Disemba mwaka jana.
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Waandamanaji waachiliwa huru Burundi
Takriban watu 100 waliokamatwa kwa makosa ya kuandamana kupinga muhula wa tatu wa rais Nkurunzinza wameachiliwa huru
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Waandishi Ethiopia waachiliwa huru
Waandishi 3 Ethiopia na wanablogu waliokuwa wakizuiwa gerezani kwa tuhuma za kigaidi wameachiliwa huru
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania