Waaswa kushirikiana kumaliza migogoro ya mipaka
WATUMISHI wa idara ya ardhi katika halmashauri ya wilaya ya Singida wametakiwa kushirikiana na madiwani wao ili kutatua migogoro ya mipaka iliyopo maeneo mbalimbali ya halmashauri hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Nov
Wanasiasa lawamani migogoro ya mipaka
MIGOGORO ya mipaka kati ya vijiji vya Mkanga ya Kwanza na Kineng’ene, Manispaa ya Lindi na wa kijiji cha Muungano, halmashauri ya Lindi imetajwa kuchangiwa na wanasiasa ambao hawaheshimu mipaka halali iliyopo kwa maslahi ya kisiasa.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-m_p70FgtIeM/VHgyuWWkODI/AAAAAAACvg0/NTgfqf4dGPs/s72-c/ARDHI-YA-JUMUIYA-YA-UHIFADHI-WANYAMAPORI.jpg)
Migogoro ya ardhi, mipaka ni tishio wilayani Handeni
![](http://1.bp.blogspot.com/-m_p70FgtIeM/VHgyuWWkODI/AAAAAAACvg0/NTgfqf4dGPs/s1600/ARDHI-YA-JUMUIYA-YA-UHIFADHI-WANYAMAPORI.jpg)
SERIKALI Kuu kwa kushirikiana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya Handeni na Mkoa mzima wa Tanga, wameombwa kuingilia kati mgogoro mzito wa ardhi katika kijiji cha Komsala, wilayani Handeni, ili kuepusha hatari inayoweza kutokea, ikiwamo vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Hayo yamesemwa juzi na wananchi wa kijiji hicho katika mkutano ulioandaliwa na taasisi ya Handeni Kwetu Foundation inayofanya ziara katika maeneo mbalimbali, hususan ya wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, baada ya kuzinduliwa Mei 8...
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Wafugaji, hifadhi watakiwa kutumia vikao kumaliza migogoro
9 years ago
Habarileo11 Dec
Madiwani Arusha waaswa kushirikiana na watendaji
MADIWANI wa Jiji la Arusha wameaswa kushirikiana na watendaji wa Halmashauri ya Jiji hilo katika kuhakikisha maendeleo yanapatikana. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Adolph Mapunda wakati alipokuwa akifungua kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani wa Jiji hilo sambamba na uchaguzi wa Meya na Naibu Meya na wajumbe wa Kamati mbalimbali za Kudumu.
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Waandishi wa habari waaswa kushirikiana na TMF ili kupunguza utegemezi wa matangazo
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa mradi wa mafunzo ya bure kwa waandishi wa habari kwenye maeneo matano, sekta ya uchimbaji, unyanyasaji wa kjinsia, kupamba na biashara ya madawa ya kulevya na kuzuia utumiaji wa madawa ya Kulevya kwa waandishi wa habari na utayarishaji na utengenezaji wa vipindi vya luninga na wanawake watangazaji jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. kushoto kwake ni Msaidizi wa Mwakilishi wa Mfuko wa Umoja...
11 years ago
Michuzi25 Mar
WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI
![DSC_1151](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_1151.jpg)
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za kutiririsha maji machafu barabara ya Morogoro kati kati ya jiji.
Na Damas Makangale
WATENDAJI wa Mamlaka za Maji Safi na Taka, Manispaa, Halmashauri, Wakala wa Barabara na Mabasi yaendayo kasi wameshauri kuwa na utaratibu wa kuwasiliana na kushirikiana kwa pamoja ili kuleta tija katika...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0540.jpg)
WAANDISHI WA HABARI WAASWA KUSHIRIKIANA NA TMF ILI KUPUNGUZA UTEGEMEZI WA MATANGAZO
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Mh. Lukuvi aagiza uongozi wa mkoa wa Manyara kumaliza migogoro ya ardhi kabla ya mwezi Mei mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati, kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Crispin Meela.Mhe.Bendera amesisitiza nidhamu ya kazi katika kuhudumia wananchi na ameapa kuwaondoa watendaji wabovu mkoani humo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.William Lukuvi akizungumza katika...