Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasiasa lawamani migogoro ya mipaka

MIGOGORO ya mipaka kati ya vijiji vya Mkanga ya Kwanza na Kineng’ene, Manispaa ya Lindi na wa kijiji cha Muungano, halmashauri ya Lindi imetajwa kuchangiwa na wanasiasa ambao hawaheshimu mipaka halali iliyopo kwa maslahi ya kisiasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanasiasa lawamani kuua Saccos

>Mameneja wa Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos) nchini, wamesema kuwa wanasiasa ndiyo wanaoua vyama hivyo kwa kuingiza wanachama wasiofuata taratibu.

 

11 years ago

Habarileo

Waaswa kushirikiana kumaliza migogoro ya mipaka

WATUMISHI wa idara ya ardhi katika halmashauri ya wilaya ya Singida wametakiwa kushirikiana na madiwani wao ili kutatua migogoro ya mipaka iliyopo maeneo mbalimbali ya halmashauri hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Migogoro ya ardhi, mipaka ni tishio wilayani Handeni



SERIKALI Kuu kwa kushirikiana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya Handeni na Mkoa mzima wa Tanga, wameombwa kuingilia kati mgogoro mzito wa ardhi katika kijiji cha Komsala, wilayani Handeni, ili kuepusha hatari inayoweza kutokea, ikiwamo vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Hayo yamesemwa juzi na wananchi wa kijiji hicho katika mkutano ulioandaliwa na taasisi ya Handeni Kwetu Foundation inayofanya ziara katika maeneo mbalimbali, hususan ya wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, baada ya kuzinduliwa Mei 8...

 

11 years ago

Mwananchi

Mikono ya wanasiasa inavyochochea migogoro ya ardhi

Migogoro ya ardhi inayojitokeza kwa sasa katika jamii imeendelea kuwa tishio la amani ya nchi yetu kutokana na athari mbalimbali zinazodaiwa kuchangiwa na matokeo ya udhaifu wa kimfumo, ongezeko la idadi ya watu, shughuli za uwekezaji, upanuzi wa miji, shughuli za ufugaji na nyinginezo nyingi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa chanzo cha migogoro ya ardhi

WANASIASA wamebainika kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi inayotokea nchini na kusababisha vifo huku wengine wakibaki na ulemavu kama inavyojitokeza katika mgogoro wa Kiteto, mkoani Manyara. Mbali na hilo, serikali...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali lawamani

Jakaya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

WANANCHI walio wengi wameonekana kuwa na imani ndogo na maofisa wa Serikali za Mitaa na Vijiji katika kushughulikia masuala yao.

Pia sekta ya maji na umeme ni miongoni mwa taasisi rasmi za serikali ambazo wananchi hawana imani nazo.

Kwamba wananchi wanaona taasisi hizo zinawarudisha nyuma kimaendeleo kwa sababu zimeshindwa kutatua kero zinazowakabili.

Kutokana na hali hiyo, hawaoni kama wanao uwezo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara lawamani

JEURI ya waandaaji wa Tamasha la Fiesta kukaidi amri ya Mahakama na kumpandisha jukwaani msanii maarufu wa nchini Nigeria, David Adedeji ‘Davido’ ilitokana na nguvu ya Wizara yenye dhamana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa dini lawamani

MKUU wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigalla, amesema kasi ya ongezeko la ufisadi na uhalifu nchini kunatokana na tatizo la viongozi wa dini kutofanya kazi yao ya kukemea maovu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji Bagamoyo lawamani

KUPORWA kipande cha ardhi ya mwekezaji, Ester Shayo, wilayani Bagamoyo, Pwani kumesababishwa na baadhi ya watendaji wa Kijiji cha Bago kutozingatia sheria na badala yake kuendekeza ubaguzi. Akizungumza na waandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani