Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wabunge ndiyo wadaiwa wakuu TBA’

Naibu Waziri wa Ujenzi, Greson Lwenge, amesema sehemu kubwa ya wadaiwa wa Wakala wa Majengo nchini (TBA)mji wa Dodoma ni wabunge.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri, wabunge kutimuliwa kwenye nyumba TBA Dodoma

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imefanya uamuzi mgumu wa kuwatimua baadhi ya wapangaji wa nyumba zake zilizopo mjini Dodoma ambao ni wadaiwa sugu, wakiwamo mawaziri saba na wabunge 15.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Tanzania wadaiwa kuzipiga Malaysia

>Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanadaiwa kupigana huko Malaysia baada ya kukutana hotelini, wakati wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), walipokuwa katika ziara ya kikazi nchini humo.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Viongozi wakuu wa UKAWA, Wabunge wawasili kumuaga Kamanda Mawazo

Wakati wapenzi, wafuasi, wanachama, viongozi na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa na wengine wengi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ujumla, wakijiandaa kutoa heshima za mwisho kwa Kamanda Alphonce Mawazo aliyeuwawa kikatili mwishoni mwa juma lililopita akiwa anatekeleza majukumu yake ya kisiasa kama Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, tayari viongozi waandamizi wa chama na

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue

2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo

3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro

4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...

 

9 years ago

Michuzi

JK ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa  Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali. Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili. Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab Mkwizu kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Profesa Elisante Ole Gabriel kuwa Katibu...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU

WAZIRI MKUU  Mhe. Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu  jijini Dar es Salaam leo. Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakiwa wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya waandishi wa habari.Mhe. Majaliwa pia amewataka viongozi hao, kuwa waaminifu, kuwajibika na  kutoa taarifa ya utendaji kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa, viongozi wengine watakao apa mbele ya Kamishna wa Tume ya...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU WAKUU WAKE LEO IKULU JIJINI DAR.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence S.Milanzi akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Jaji Meja Jenerali Projest A.Rwegasira akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu leo Ikulu Jijini Dar

IMG_0296

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Adolf Mkenda (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0311 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Maria Mashingo (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0322 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani