Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABUNGE WA MKOA WA KIGOMA WAKUNWA NA MIRADI YA UN

Na Editha Karlo,Kigoma

WABUNGE wa mkoa Kigoma wameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya mpango wa pamoja Kigoma (KJP) chini ya mashirika 16 ya Umoja wa Mataifa na kwamba miradi hiyo imeleta faida na mabadiliko makubwa kwa jamii.

Mwenyekiti wa wabunge wa mkoa kigoma, Daniel Nsanzugwanko alisema hayo alipokuwa akiongozi timu ya wabunge wa mkoa huo na wajumbe wa kamati ya ushauri ya mkoa Kigoma kutembelea na kukagua miradi inayotekelezwa chini ya mpango wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WABUNGE WAKUNWA NA HIFADHI YA GOMBE KIGOMA

Baadhi ya watalii wakiwa eneo la hifadhi ya Gombe. Na Ojuku Abraham
WABUNGE ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, wamekunwa na kitendo cha Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kupitia hifadhi yake ya Gombe mkoani Kigoma, kujenga vyumba vinne vya madarasa ya Shule ya Sekondari ya Kagongo. Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa Abdulkarim Shah alitoa pongezi hizo hivi karibuni...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge ‘wakunwa’ na miradi ya maji Kibiti

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imeeleza kuridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya maji ya Kibiti na Ikwiriri iliyoko wilayani Rufiji mkoani Pwani kutokana na kuonyesha mafanikio makubwa.

 

9 years ago

Michuzi

UVCCM MKOA WA KIGOMA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA MKOA NA KUWAFARIJI WAGONJWA.

 Baadhi ya wanachama wa UVCCM Mkoa wa Kigoma wakifanya usafi katika hospital ya mkoa wa kigoma.

Mbunge wa viti maalum kupitia umoja wa vijana Zainabu Katibu akiwafariji watoto waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma

Na Editha Karlo wa blog ya jamii, KigomaUmoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma(UVCCM) wamefanya usafi katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) sambamba na kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika wodi mbalimbali hospitalini hapo.
Akiongea na waandishi wa habari...

 

9 years ago

Michuzi

JK azindua miradi ya Maendeleo mkoani kigoma, awaaga wananchi

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua jengo la kitega uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa(National Housing Corporation) NHC Lumumba Complex mjini Kigoma leo .Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,(watatu kushoto), Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi,(wanne kushoto), Mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya,(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bwana Nehemia Mchechu(kulia), na kushoto ni Mbunge Mstaafu wa...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete azindua miradi ya Maendeleo kigoma awaaga wananchi

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua jengo la kitega uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa(National Housing Corporation) NHC Lumumba Complex mjini Kigoma leo .Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,(watatu kushoto), Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi,(wanne kushoto), Mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya,(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bwana Nehemia Mchechu(kulia), na kushoto ni Mbunge Mstaafu wa...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPONGEZA MIRADI YA TASAF SINGIDA

 Mkuu wa Mkoa wa Singida  Dkt. Rehema Nchimbi akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwenge, nyuma  yake ni Kamati ya Kudumu ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa iliyotembelea kukagua  Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dkt. Anjelina Lutambi akiwahutubia wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mwenge nyuma yake in Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
  Mkurugenzi Mkuu wa  TASAF Radislaus Mwamanga akiangalia bidhaa za sabuni zinazotengenzwa na mnufaika wa...

 

9 years ago

Michuzi

Mkoa wa Kigoma kunufaika na Umeme wa nishati ya jua wa MW 5

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NextGen Solawazi Ltd ya kutoka Marekani, Bw. Mayank Bhargava. Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Bhargava alimjulisha Balozi Mulamula kuwa kampuni hiyo imeshaanza kazi ya kufunga mitambo ya kuzalisha umeme wa nishati ya jua wa MW 5 kwa ajili ya mkoa wa Kigoma. Aidha, alitoa taarifa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani