Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABUNGE WAKUNWA NA HIFADHI YA GOMBE KIGOMA

Baadhi ya watalii wakiwa eneo la hifadhi ya Gombe. Na Ojuku Abraham
WABUNGE ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, wamekunwa na kitendo cha Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kupitia hifadhi yake ya Gombe mkoani Kigoma, kujenga vyumba vinne vya madarasa ya Shule ya Sekondari ya Kagongo. Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa Abdulkarim Shah alitoa pongezi hizo hivi karibuni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WA MKOA WA KIGOMA WAKUNWA NA MIRADI YA UN

Na Editha Karlo,Kigoma

WABUNGE wa mkoa Kigoma wameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya mpango wa pamoja Kigoma (KJP) chini ya mashirika 16 ya Umoja wa Mataifa na kwamba miradi hiyo imeleta faida na mabadiliko makubwa kwa jamii.

Mwenyekiti wa wabunge wa mkoa kigoma, Daniel Nsanzugwanko alisema hayo alipokuwa akiongozi timu ya wabunge wa mkoa huo na wajumbe wa kamati ya ushauri ya mkoa Kigoma kutembelea na kukagua miradi inayotekelezwa chini ya mpango wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

GOMBE: Hifadhi yenye sokwe wanaoishi kama binadamu

TANZANIA imejaliwa kuwa na hifadhi zenye vivutio mbalimbali  wakiwamo wanyama, ndege, maua, milima, vijito, fukwe nzuri na maporomoko ya maji. Hifadhi zilizopo ni Mlima Kilimanjaro, Gombe, Rubondo, Katavi, Ruaha, Kitulo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge ‘wakunwa’ na miradi ya maji Kibiti

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imeeleza kuridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya maji ya Kibiti na Ikwiriri iliyoko wilayani Rufiji mkoani Pwani kutokana na kuonyesha mafanikio makubwa.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. Abdulkarim Shah akiwasili kwa boti katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe, Kigoma.  Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Allan Kijazi akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe Bibi. Noelia Myonga, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mahmoud Mgimwa,Makamu Mwenyekiti wa Kamati Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

Wabunge wa CPA Tanzania watembelea Hifadhi za Taifa

 Afisa Utalii wa Hifadhi ya Ziwa Manyara,Jully Lyimo(wa pili kushoto)akiwaongoza Wabunge wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania na Maafisa wa Bunge waliotembelea Hifadhi hiyo  Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu akiwa na Wajumbe wa Bunge hilo na Maafisa wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, wakiwa kwenye ziara ya tathmini ya Maandalizi ya Mkutano wa 45 wa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUWAHOJI WAOMBA HIFADHI (NEC) YAANZA KAZI KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU, KIGOMA

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Kuhoji Waomba Hifadhi (NEC), Faraja Nchimbi (watatu kushoto), Katibu wa Kamati hiyo, Philo Nombo (watatu kulia) ambaye anamwakilisha Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi nchini, wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuwahoji waomba hifadhi katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyopo Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma. Waombaji hao wanatoka nchi mbalimbali ambapo wengi wao wanatoka nchini Kongo. Zaidi ya waomba hifadhi 300...

 

10 years ago

Michuzi

Kigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akipata maelezo ya njia ya kutembea kwa miguu kutoka Kagunga hadi Mkigo kutoka kwa mkazi wa kijiji hicho, Mahmud Ahmad wakati alipokagua njia hiyo ili itumike kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi wa Burundi, tarehe 17 Mei, 2015, (mwenye Kaunda suti ) ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akiwa katika kijiji cha...

 

9 years ago

Habarileo

Jukwa la Katiba wakunwa uteuzi wa Majaliwa

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limepongeza uteuzi wa Waziri Mkuu uliofanywa na Rais John Magufuli kwa kumteua Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram waondoka Gombe

Wapiganaji wa Boko Haram wa Nigeria waondoka mji waliouteka Jumamosi asubuhi - serikali yasema imewatimua

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani