WABUNGE WAPONGEZA MIRADI YA TASAF SINGIDA
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwenge, nyuma yake ni Kamati ya Kudumu ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa iliyotembelea kukagua Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dkt. Anjelina Lutambi akiwahutubia wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mwenge nyuma yake in Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Radislaus Mwamanga akiangalia bidhaa za sabuni zinazotengenzwa na mnufaika wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWABUNGE WAVUTIWA NA MAFANIKIO YA WALENGWA WA TASAF MKOANI SINGIDA.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika eneo la mmoja wa Walengwa wa TASAF (bi. Edith Makala ) wakishuhudia namna mradi wake ya kushona nguo aliouanzisha baada ya kupata ruzuku ya TASAF unavyotekelezwa.
Mmoja wa walengwa wa TASAF Bi. Esther Mangi Nkumbi (aliyevaa kitambaa cha bluu kichwani ) akiwaelezea wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa namna alivyonufaika na ruzuku kutoka TASAF kwa kuanzisha shughuli ya...
5 years ago
MichuziALAT wapongeza usimamizi wa miradi ya maendeleo Makete
Na Amiri kilagalila,Njombe
Wajumbe wa jumuiya ya tawala za serikali za mitaa (ALAT) mkoa wa Njombe,wametembelea na kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi ya uthibiti ubora wa shule wilayani humo ambalo Ujenzi wake umekamilika.
Wakiongozwa na mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Njombe Mhe,Hanana Mfikwa,wajumbe hao wamepokea taarifa ya ujenzi wa jengo hilo kutoka kwa mthibiti mkuu ubora wa shule wilaya ya Makete Bw, John Kapinga ambae amesema April 2019 serikali ilitoa fedha za kitanzania kiasi...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Wabunge wapongeza msimamo wa Kanisa
WABUNGE na Wawakilishi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepongeza hatua ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kueleza kuwa kanisa halikutoa msimamo wake juu ya muundo wa serikali unaotakiwa. Pia wameelezea hofu zao kuhusu uwepo wa dalili za baadhi ya vyama vya upinzani, kutaka kuvuruga mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
CCM Singida wapongeza hotuba ya Rais Dk. Magufuli
Katibu CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku (kushoto) akitoa pongezi zake kwa Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri aliyoitoa bungeni hivi karibuni na kudai kuwa imeonyesha wazi kwamba ataleta mabadiliko ya kweli yanayotarajiwa na Watanzania.Wa kwanza kulia ni Katibu msaidizi mkuu wa CCM mkoa wa Singida, Adamu Makulilo.
Baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM mkoa wa Singida,wakimsikiliza Katibu CCM mkoa Mary Maziku (hayupo kwenye picha) akitoa pongezi kwa hotuba ya rais Dk.John Pombe...
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
BAKWATA Mkoani Singida wapongeza utendaji wa Rais Dk. Magufuli aliyoanza nayo!
Katibu BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake jana.Picha na Nathaniel Limu.
Na Nathaniel Limu
[SINGIDA]
Aina ya kasi ya utendaji kazi aliyoanza nayo rais Dk.John Pombe Magufuli,imeendelea kuwakuna Watanzania wengi kila kona ya nchi,wakiwemo viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini.
Katibu wa BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,amesema kutokana na utendaji ulioonyeshwa na Dk.Magufuli kwa muda mfupi,ana imani kubwa kwamba utendaji huo...
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
‘Watendaji simamieni miradi ya TASAF’
WATENDAJI wa kata na vijiji wametakiwa kusimamia miradi ipasavyo ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ili kuzinusuru kaya maskini. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, alitoa kauli...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Miradi Tasaf mkombozi Kongwa
NI ukweli usiopingika kuwa Watanzania wengi ni maskini licha ya kuwa taifa lina rasilimali nyingi. Kuthibitisha ukweli huo ni kwamba kuna familia zinakula mlo mmoja kwa siku tena kwa shaka...
10 years ago
Habarileo10 Oct
Tasaf walaumiwa kwa kutokamilisha miradi
VITENDO vya udanganyifu kwenye utekelezaji wa miradi ya kijamii (TASAF) vimeonekana kukithiri ambapo miradi mingi imeonekana kutokamilika na huku mingine ikiwa chini ya kiwango kwa awamu ya kwanza na ya pili zilizopita.
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Miradi ya TASAF yawainua wakazi Chamwino
WAKAZI wa Kijiji cha Ndogowe na Ng’ambaku katika Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, wamesema miradi inayosimamiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imekuwa mkombozi wa kuwaondolea umaskini. Aidha, walieleza...