CCM Singida wapongeza hotuba ya Rais Dk. Magufuli
Katibu CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku (kushoto) akitoa pongezi zake kwa Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa hotuba nzuri aliyoitoa bungeni hivi karibuni na kudai kuwa imeonyesha wazi kwamba ataleta mabadiliko ya kweli yanayotarajiwa na Watanzania.Wa kwanza kulia ni Katibu msaidizi mkuu wa CCM mkoa wa Singida, Adamu Makulilo.
Baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM mkoa wa Singida,wakimsikiliza Katibu CCM mkoa Mary Maziku (hayupo kwenye picha) akitoa pongezi kwa hotuba ya rais Dk.John Pombe...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
BAKWATA Mkoani Singida wapongeza utendaji wa Rais Dk. Magufuli aliyoanza nayo!
Katibu BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake jana.Picha na Nathaniel Limu.
Na Nathaniel Limu
[SINGIDA]
Aina ya kasi ya utendaji kazi aliyoanza nayo rais Dk.John Pombe Magufuli,imeendelea kuwakuna Watanzania wengi kila kona ya nchi,wakiwemo viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini.
Katibu wa BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,amesema kutokana na utendaji ulioonyeshwa na Dk.Magufuli kwa muda mfupi,ana imani kubwa kwamba utendaji huo...
9 years ago
Michuzi
WENYEVITI WA CCM MIKOA WAPONGEZA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KWA KASI YAKE


Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamesema kuwa kasi ya Rais Dk. John Joseph Pombe Magufuli kwa kuwachukulia hatua ...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Wenyeviti CCM wapongeza kasi ya Magufuli
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempongeza kwa dhati Rais Dk. John Magufuli kwa kasi ya utendaji wake.
Kwa mujibu wa wenyeviti hao, kasi ya Rais Magufuli hasa ya kuwachukulia hatua watendaji wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ni kazi inayokwenda sambamba na utekelezaji wa ilani ya chama hicho.
Pongezi hizo zimetolewa Mwenyekiti wa Wanyeviti wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhani Madabida alipozungumza na waandishi wa habari,...
10 years ago
Michuzi
CCM TAWI LA CHINA WAPONGEZA UTEUZI WA DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUGOMBEA URAIS

9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Hotuba ya rais Magufuli Bungeni
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
CCM Blog
5 years ago
Michuzi
WABUNGE WAPONGEZA MIRADI YA TASAF SINGIDA



9 years ago
Michuzi
Chama cha Wakulima Tanzania chaipongeza hotuba ya Rais Magufuli

Chama cha Wakulima Tanzania (AFP) kimepongeza hotuba ya Rais wa awamu ya Tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli aliyoisoma wakati wa ufunguzi wa Bunge la 11, Novemba 20 mwaka huu mjini Dodoma.
Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mahusiano wa Makundi Maalum wa AFP Bw. Peter Sarungi ameeleza kuwa hotuba hiyo imesimama katika mambo ya msingi na yenye kuleta mabadiliko ya...