Wabunge wazidi kumwandama RC Gama
NA ARODIA PETER, Dodoma
WABUNGE wa upinzani wa Mkoa wa Kilimanjaro wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuchunguza mchakato wa uwekezaji wa ardhi katika Halmashauri ya Rombo unaomhusisha Mkuu wa Mkoa huo, Leonidas Gama.
Wabunge hao wanamtuhumu Gama kuwa ametumia vibaya madaraka yake kwa kujiingiza kwenye biashara chafu ya kupora ardhi ya wananchi na kuwapa wawekezaji wageni wakati huo huo yeye pamoja na mtoto...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Wabunge wazidi kumwandama Pinda
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Wabunge CCM wazidi kumwandama Warioba
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Wabunge CCM wazidi kuipinga bajeti
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Tanzania Kwanza yazidi kumwandama Balozi wa Ujerumani
Mwenyekiti wa Kamati ya Tanzania Kwanza ya Nje ya Bunge la Katiba, Agustino Matefu
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KUNDI la Tanzania Kwanza nje ya Bunge Maalumu la Katiba, limemtaka Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke, kuacha kutoa majibu mepesi kwa maswali mazito yanayoihusu Tanzania.
Aidha, limemtahadharisha Balozi Kochanke kama asipozionya taasisi za nchi yake zinazotuhumiwa kutoa fedha za kuvuruga Katiba mpya, wataandamana hadi nje ya ubalozi huo kushinikiza afukuzwe nchini.
Ofisa...
10 years ago
Mtanzania09 Jun
RC Gama alipuliwa bungeni
NA ARODIA PETER, Dodoma
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amehusishwa na tuhuma za kutaka kumiliki ardhi kwa njia za kifisadi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo Wilaya ya Rombo mkoani humo.
Kutokana na hali hiyo, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuzuia mchakato wowote haramu utakaofanywa na Gama kuhusu ardhi.
RC Gama, alitajwa bungeni na Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee...
10 years ago
TheCitizen11 Jun
Gama still in hot water
11 years ago
Mwananchi16 May
Waongoza watalii wamlilia RC Gama
9 years ago
Habarileo06 Dec
Mbunge Gama atema cheche
MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, ametoa wiki mbili kwa Mhandisi wa Maji wa manispaa hiyo, Samwel Sanya, kuhakikisha wakazi wa kata ya Luhuwiko wanapata huduma ya maji safi na salama.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Abdallah Gama arejea Sikinde
BENDI Kongwe ya muziki wa dansi nchini Mlimani Park Orchestral ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’ imemrejesha kundini mpiga gitaa zito la besi, mwanamuziki wake wa zamani Abdallah Gama. Mwanamuziki huyo alitambulishwa...