Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachimbaji waanza kupasua milima

Samunge. Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika kijiji cha Mgongo, kata ya Samunge wilayani Ngorongoro wameanza kupasua milima iliyopo katika kijiji hicho kusaka dhahabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

LOWASSA AZIDI KUPASUA ANGA

lowassaNA ELIAS MSUYA, ZANZIBAR

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameingia visiwani Zanzibar na kupokewa kwa maandamano makubwa ya wana CCM.
Lowassa aliwasili Zanzibar juzi akitokea jijini Mwanza, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili agombee urais kupitia CCM.
Lowassa na ujumble wake waliingia Zanzibar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume saa 1:30 jioni, ambapo alipokewa kwa shangwe na wana CCM, vikundi vya ngoma, waendesha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu za Kibongo za Zidi Kupasua Anga!

Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokan na hiki ambacho blogger maarufu  Jestina George  mtanzania aneishi ughaibuni kushea nasi kile alichokutana nacho akiwa ndani ya ndege.

"I was very happy hivi karibuni wakati nasafiri ndani ya Emirates kukutana na hii .BongoMovie ..MkeMchafu humo ndani ninaemjua ni Johari Chagula pekee yake . but lengo lakuleta hapa ni kuwapongeza sana maana ni hatua nzuri and I...

 

10 years ago

Vijimambo

Kizungumkuti kura ya maoni:AG kupasua jipu

Tume ya Uchaguzi yaitisha kikao kuijadiliMsimamo rasmi wa serikali kuhusu kura ya maoni kuamua ama kuikubali au kuikataa katiba inayopendekezwa, iwapo itapigwa kabla au baada ya uchaguzi mkuu ujao, unatarajiwa kutangazwa leo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, aliliambia NIPASHE jana kuwa ataweka bayana msimamo wa serikali leo ili kuzima mkanganyiko uliojitokeza kuhusiana na lini kura hiyo itapigwa.

Mkanganyiko huo unafuatia Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...

 

9 years ago

Habarileo

JK azindua kiwanda cha kupasua kokoto B’moyo

RAIS Jakaya Kikwete amezindua kiwanda cha kupasua kokoto za ukubwa mbalimbali kwa wastani wa meta za ujazo 2,000 kwa siku katika kijiji cha Pongwe, Msungura wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

11 years ago

Michuzi

idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa yazidi kupasua anga

Na Mwandishi Maalum  Radio ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, inaendelea kujizoelea umaarufu kwa kupanua wigo wake wa ushirikiano na vituo mbalimbali vya utangazaji katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Tanzania na Marekani.   Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, iliyowasilishwa mbele ya wajumbe wa Kamati ya Habari ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma, Bw Peter-Launsky Tieffenthel Kamati ya...

 

11 years ago

Michuzi

MRISHO MPOTO AZIDI KUPASUA ANGA NA MJOMBA BAND

 Baada ya "kutoka" kwa wimbo na mashairi ya 'Mjomba' msanii malenga Mrisho Mpoto ameendelea kupata mafanikio siku hadi siku kwa kuweza sasa kumiliki bandi yake aliyoipa jina la Mjomba Band, akiajiri vijana zaidi ya 10 na kuendeleza libeneke kwa nguvu zake zote. Aghalabu Mpoto na bendi yake utakuta wamealikwa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kutoa burudani. Hakika yeye ni mfano wa kuigwa. pichani  Mpoto akiwa na bendi yake jukwaani.  Mrisho Mpoto akighani mashairi...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AUNGURUMA ORKESUMENT SIMANJIRO, LEO KUPASUA MERERANI

Wananchi wa Kijiji cha Kitwai A wakiwa wamenyoosha mikono juu,kwenye mkutano wa hadhara,wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akimuunga mkono jambo Mbunge wa jimbo la Simanjiro,Mh Christopher Ole Sendeka,katika suala zima la Utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Pichani mbele ye bango kulia ni jengo la Mama na Mtoto la kituo cha Afya Orkesument,Wilayani Simanjiro,ambalo pia Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alikagua na kujionea ujenzi wake. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB: Jerusalem Film Company Inazidi Kupasua Anga, Mzee wa Swaga ya Someka Zambia

"Jerusalem Film Company inazidi kupasua anga....baada ya kumshirikisha msanii mkubwa sana Zambia Cassie Kabwita kwenye sinema ya MZEE WA SWAGA tumepata coverage kwenye gazeti la The Post huko Zambia Cassie akielezea sinema ya Mzee Wa Swaga...Malengo ya Jerusalem ni kujitangaza nje ya nchi tumeanza na Zambia".

"Shukrani kwa Cassie Kabwita na sasa tunajipanga kutusua Zimbabwe!!! Sinema yetu ijayo tutaifanyia Zambia Cassie akiwa mwenyeji wetu na pia tutawaleta wasanii wawili maarufu sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani