Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachimbaji wacharuka, wateketeza kwa moto majengo ya Stamico

Vurugu kubwa zimetokea katika eneo la Mgodi wa Stamico uliopo Nyarugusu wilayani Geita, baada ya walinzi kumuua kwa kumpiga risasi mtu mmoja, hatua iliyowalazimisha wananchi kuvamia majengo ya Stamico na kuyachoma moto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

STAMICO YAAHIDI NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI

2Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO wakiwahudumia wageni waliotembelea katika banda lao kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar  3Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa wakiangali moja ya majarida ya nayoelezea shughuli za shirika hilo kutoka kulshoto ni Bibiana Ndumbaro, Denis Silas na Charles Mawala. 4 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Shirika la Madini la Taifa STAMICO Bw. Leornald Mwakalebela akiwapatia majarida...

 

10 years ago

Michuzi

STAMICO KUANZISHA MTANDAO WA KUWASAIDIA WACHIMBAJI WADOGO

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (Stamico), Zena Kangoi akizungumza na waandishi wahabari juu mafanikio ya stamico yaliyofanywa katika katika Ofisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Meneja Mkuuwa Stamigold, Mhandisi Dennis Sibugwao akizungumza na waandishi wahabari juu Stamico inavyosimamia mgodiwa STAMIGOLD, katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Stamico,jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa Stamico, Rehema MwakajubeBeatrice akizungumza na...

 

9 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza mabanda Njombe

Moto ambao chanzo chake hakijajulikana hadi sasa umeteketeza baadhi ya mabanda ya mama lishe na mitumba karibu na kituo cha mabasi mkoani Njombe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala Vingunguti

GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza maduka Tanga

MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Moto wateketeza soko Mchikichini


NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza msikiti wa Hindu

MOTO umezuka juzi maeneo ya Olimpio kata ya Upanga na kuteketeza jengo la msikiti wa dhahabu la hindu ulioko katika mtaa huo na kuunguza vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Akizungumza...

 

10 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza hosteli UDSM

NA MICHAEL SARUNGI, Dar es Salaam
WANAFUNZI wawili wanaosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wameumia baada ya moto kuteketeza hosteli za Mabibo Dar es Salaam, walikokuwa wakiishi.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, alisema moto huo uliteketeza ghorofa ya tatu ya jengo A linalotumiwa na wanafunzi wa kike.
“Tunamshukuru Mungu hakuna maafa yaliyotokea ingawa kuna wanafunzi wawili wamepata matatizo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani