Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachimbaji wawili wadogo wafukiwa na kifusi

WACHIMBAJI wadogo wawili ambao majina yao hayajafahamika wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo bubu ya dhahabu yaliyopo eneo la Mnadani kata ya Sangambi, wilayani Chunya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wafukiwa kifusi, mmoja afa

Wachimbaji 11 wa dhahabu wameokolewa kwenye mashimo yaliyopo Nyangarata wilayani hapa, baada ya mashimo hayo kutitia mara mbili, huku mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika akiopolewa akiwa amekufa.

 

9 years ago

Global Publishers

Breaking News: Wachimbaji wafukiwa na kifusi, Chunya-Mbeya

mgodini (2)Hali ya taharuki kwenye eneo la tukiomgodini (1)Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.

Taarifa zilizotufikia hivi punde:

Wachimbaji kadhaa wa migodi (idadi yao haijafahamika) hivi punde wamefukiwa na kifusi cha udongo katika Kijiji cha Sangambi kilichopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuwaokoa bado zinaendelea muda huu.

Endelea kufuatilia habari zetu ili kufahamu kitakachojiri kuhusu tukio hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Wawili wafukiwa na kifusi na kufa

WA C H I M B A J I wawili wa kokoto, wamekufa katika eneo la Mlimani Kata ya Terati katika Jiji la Arusha, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakijaza kokoto kwenye lori aina ya Isuzu ambalo lilitoweka baada ya tukio.

 

10 years ago

Habarileo

Wafukiwa na kifusi wakichimba vito

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Juma NdakiWAKAZI wawili wa kata ya Kigongoi wilayani Mkinga, wamekufa papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo walipokuwa wakichimba madini aina ya vito.

 

9 years ago

Habarileo

Wafukiwa na kifusi siku 41, waokolewa

WATU watano ambao ni wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, wameokolewa na wenzao baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo na kukaa kwa muda wa siku 41.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu zaidi ya 2,500 wafukiwa na kifusi

Watu zaidi ya 2,500 wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na mmomonyoko wa ardhi Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo katika Jimbo la Badakhshan.

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA

"Niliamini kuwa itatuchukuwa muda mrefu kusafiri kuweza kujenga na kutengeneza kitu ambacho kitatambulika kitaifa kitakuwa na heshima inayostahili na kitatoa mchango unaostahili na kitashawishi wachimbaji wengine kuona kwamba hii ni Fursa ambayo hakuna yeyote yule anayeweza kuiacha ipite pembeni. Sasa wacha niwapongeze NSSF kwa kuwa wajanja kati ya mifuko mingine yote ya jamii na kuamua kuliangalia kundi hili ambalo nguvu yake ya baadaye italiongoza taifa kuwa na matajiri wake wa ndani...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo

PG4A5940

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw.  Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa  wachimbaji madini wadogowadogo  waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...

 

10 years ago

GPL

BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi. Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani