Wafukiwa na kifusi siku 41, waokolewa
WATU watano ambao ni wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, wameokolewa na wenzao baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo na kukaa kwa muda wa siku 41.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Feb
Wafukiwa na kifusi wakichimba vito
WAKAZI wawili wa kata ya Kigongoi wilayani Mkinga, wamekufa papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo walipokuwa wakichimba madini aina ya vito.
11 years ago
Habarileo04 Jan
Wawili wafukiwa na kifusi na kufa
WA C H I M B A J I wawili wa kokoto, wamekufa katika eneo la Mlimani Kata ya Terati katika Jiji la Arusha, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakijaza kokoto kwenye lori aina ya Isuzu ambalo lilitoweka baada ya tukio.
11 years ago
Mwananchi04 May
Watu zaidi ya 2,500 wafukiwa na kifusi
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wachimbaji wawili wadogo wafukiwa na kifusi
WACHIMBAJI wadogo wawili ambao majina yao hayajafahamika wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo bubu ya dhahabu yaliyopo eneo la Mnadani kata ya Sangambi, wilayani Chunya.
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Wachimbaji wafukiwa kifusi, mmoja afa
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Breaking News: Wachimbaji wafukiwa na kifusi, Chunya-Mbeya
Hali ya taharuki kwenye eneo la tukio
Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.
Taarifa zilizotufikia hivi punde:
Wachimbaji kadhaa wa migodi (idadi yao haijafahamika) hivi punde wamefukiwa na kifusi cha udongo katika Kijiji cha Sangambi kilichopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuwaokoa bado zinaendelea muda huu.
Endelea kufuatilia habari zetu ili kufahamu kitakachojiri kuhusu tukio hilo.
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Wachimbaji waokolewa baada ya kufukiwa ardhini siku 41
*Waliishi kwa kula mende, mizizi
* Waligunduliwa na mchimbaji aliyekwenda kuiba mchanga wa madini
Na Waandishi Wetu, Kahama na Dar
WACHIMBAJI wadogo watano katika mgodi wa Nyangarata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wameokolewa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo ardhini kwa siku 41.
Wakizungumza katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama ambako wamelazwa kwa matibabu jana, wachimbaji hao walisema waliishi siku zote hizo kwa kula wadudu kama mende na mizizi mbalimbali.
Kwa mujibu wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaeN0USWN0ePczV5SNlUe7WhJ9f9W4rACov6pIjTVPD8lHdbttw2YDgvtSJF-wH20uKIdf11ZBgmGdwFtU2DyWMh/150430072306_nepal_teenager_rescued_five_days_640x360_reuters_nocredit.jpg?width=650)
NEPAL: KIJANA AOKOLEWA AKIWA HAI BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI KWA SIKU TANO
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
50 waokolewa kutoka Antarctic