Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafukiwa na kifusi wakichimba vito

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Juma NdakiWAKAZI wawili wa kata ya Kigongoi wilayani Mkinga, wamekufa papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo walipokuwa wakichimba madini aina ya vito.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wafukiwa na kifusi siku 41, waokolewa

WATU watano ambao ni wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, wameokolewa na wenzao baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo na kukaa kwa muda wa siku 41.

 

11 years ago

Habarileo

Wawili wafukiwa na kifusi na kufa

WA C H I M B A J I wawili wa kokoto, wamekufa katika eneo la Mlimani Kata ya Terati katika Jiji la Arusha, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakijaza kokoto kwenye lori aina ya Isuzu ambalo lilitoweka baada ya tukio.

 

9 years ago

Habarileo

Wachimbaji wawili wadogo wafukiwa na kifusi

WACHIMBAJI wadogo wawili ambao majina yao hayajafahamika wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo bubu ya dhahabu yaliyopo eneo la Mnadani kata ya Sangambi, wilayani Chunya.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu zaidi ya 2,500 wafukiwa na kifusi

Watu zaidi ya 2,500 wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na mmomonyoko wa ardhi Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo katika Jimbo la Badakhshan.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wafukiwa kifusi, mmoja afa

Wachimbaji 11 wa dhahabu wameokolewa kwenye mashimo yaliyopo Nyangarata wilayani hapa, baada ya mashimo hayo kutitia mara mbili, huku mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika akiopolewa akiwa amekufa.

 

9 years ago

Global Publishers

Breaking News: Wachimbaji wafukiwa na kifusi, Chunya-Mbeya

mgodini (2)Hali ya taharuki kwenye eneo la tukiomgodini (1)Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.

Taarifa zilizotufikia hivi punde:

Wachimbaji kadhaa wa migodi (idadi yao haijafahamika) hivi punde wamefukiwa na kifusi cha udongo katika Kijiji cha Sangambi kilichopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuwaokoa bado zinaendelea muda huu.

Endelea kufuatilia habari zetu ili kufahamu kitakachojiri kuhusu tukio hilo.

 

11 years ago

GPL

KIFUSI CHAUA 21 INDIA

Muonekano wa maporomoko India. Zaidi ya watu 200 wanahofiwa kukwama katika maporomoko ya udongo nchini India,huku 20 wakithibitishwa kufariki dunia katika kijiji cha Malin karibu na mji wa Pune lilikotokea janga hilo. Kazi ya uokoaji inaendelea katika eneo hilo huku hali ya hewa mbaya ikidaiwa kuchelewesha harakati hizo. Vikosi vya uokoaji vimeendelea na kazi ya kuwanusuru waliofukiwa na maporomoko ya udogo huo, japo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

FC Vito Malaika kupaa Finland kesho

KIKOSI cha FC Vito Malaika cha Ruangwa mkoani Lindi, kilichopo jijini Dar es Salaam tangu Mei 28, kesho kinatarajiwa kukwea pipa kwenda jijini Helsinki, Finland, kushiriki michuano ya ‘Study Cup...

 

11 years ago

Habarileo

Kifusi chaua watu sita

WATU sita wakiwemo wanafunzi wawili wamekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba mchanga katika eneo la Pumwani wilayani Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro. Tayari serikali imeyafunga machimbo yote mkoani humo yakiwamo yaliyosababisha vifo hivyo, ili kuepusha athari zaidi kwa wachimbaji wengine, ikizingatiwa kuna mvua za vuli zinazoendelea maeneo mbalimbali nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani