Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Breaking News: Wachimbaji wafukiwa na kifusi, Chunya-Mbeya

mgodini (2)Hali ya taharuki kwenye eneo la tukiomgodini (1)Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.

Taarifa zilizotufikia hivi punde:

Wachimbaji kadhaa wa migodi (idadi yao haijafahamika) hivi punde wamefukiwa na kifusi cha udongo katika Kijiji cha Sangambi kilichopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuwaokoa bado zinaendelea muda huu.

Endelea kufuatilia habari zetu ili kufahamu kitakachojiri kuhusu tukio hilo.

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: WACHIMBAJI KADHAA WAFUNIKWA NA KIFUSI CHUNYA, MKOANI MBEYE LEO

Wachimbaji kadhaa wafukiwa na kifusi katika kijiji cha Sangambi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuokoa uhai wao zinaendelea muda huu. Ripota wa Globu ya Jamii, Deo Kakuru yupo eneo la tukio hivi sasa na ataendelea kutupatia kilichojiri huko.Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wafukiwa kifusi, mmoja afa

Wachimbaji 11 wa dhahabu wameokolewa kwenye mashimo yaliyopo Nyangarata wilayani hapa, baada ya mashimo hayo kutitia mara mbili, huku mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika akiopolewa akiwa amekufa.

 

9 years ago

Habarileo

Wachimbaji wawili wadogo wafukiwa na kifusi

WACHIMBAJI wadogo wawili ambao majina yao hayajafahamika wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo bubu ya dhahabu yaliyopo eneo la Mnadani kata ya Sangambi, wilayani Chunya.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WACHIMBAJI WA DHAHABU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUFARIKI DUNIA KWA KUFUKIWA KIFUSI HUKO KAHAMA

Wachimbaji wadogo wadogo wapatao 20 wa dhahabu katika machimbo ya madogo yaliyopo kwenye kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wamedaiwa kufariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo hayo.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yaliachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya...

 

9 years ago

Habarileo

Wafukiwa na kifusi siku 41, waokolewa

WATU watano ambao ni wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, wameokolewa na wenzao baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo na kukaa kwa muda wa siku 41.

 

10 years ago

Habarileo

Wafukiwa na kifusi wakichimba vito

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Juma NdakiWAKAZI wawili wa kata ya Kigongoi wilayani Mkinga, wamekufa papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo walipokuwa wakichimba madini aina ya vito.

 

11 years ago

Habarileo

Wawili wafukiwa na kifusi na kufa

WA C H I M B A J I wawili wa kokoto, wamekufa katika eneo la Mlimani Kata ya Terati katika Jiji la Arusha, baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakijaza kokoto kwenye lori aina ya Isuzu ambalo lilitoweka baada ya tukio.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu zaidi ya 2,500 wafukiwa na kifusi

Watu zaidi ya 2,500 wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na mmomonyoko wa ardhi Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo katika Jimbo la Badakhshan.

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Nyuzzzz: WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

Zaidi ya watu wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa tofari. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Bless Adrian, mkazi wa kijiji cha Nganjoni wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro. Juhudi za kutafuta miili mingine inaendelea licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana za kufukulia kifusi.


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani