Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadai kubambikiwa kesi

DIWANI wa Levelos, Ephata Nanyaro (CHADEMA) amelitaka Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuacha kufanya kazi kisiasa kwani inaweza kuhatarisha amani na usalama. Alidai kuwa siku chache baada ya kutoa kauli...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Issue ya wanaume kubambikiwa watoto, watakaopandisha ada, JPM afuta likizo TRA…#MAGAZETINI

MTANZANIA Abiria waliotaka kusafiri kwenda wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, nusura wachapane ngumi wakigombea foleni ya kukata tiketi katika Kituo cha mabasi ya mikoani Ubungo (UBT). Gazeti hili lilishuhudia abiria hao wakiwa kwenye foleni wakisubiri kukata tiketi katika mabasi ya Kampuni ya Meridian yanayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Rombo mkoani Kilimanjaro. Katika […]

The post Issue ya wanaume kubambikiwa watoto, watakaopandisha ada, JPM afuta likizo TRA…#MAGAZETINI...

 

9 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Johnson LukazaMwesigwa Lukaza 

Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti  wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....

 

10 years ago

GPL

RAY C AMFUTIA KESI CHID BENZ KESI!

Stori: Musa Mateja
WAKATI nyota wa muziki wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ akikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa Julius Nyerere akiwa na madawa ya kulevya akiwa njiani kuelekea Mbeya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ aliyekuwa amemfungulia kesi ya kumpiga katika kituo cha Polisi cha Oysterbay, amefuta shauri hilo na kumsamehe. Rehema Chalamila ‘Ray C’.
Akipiga stori na gazeti...

 

10 years ago

Vijimambo

Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu ‪

Raia 12 wa Iran na Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin kilo 200.5, zenye thamani ya sh. bilioni 9.02, wamelalamikia kucheleweshwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Washtakiwa hao ni Kapteni Ayoub Mohamed, Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Khalid Ally, Abdul Somad, Saeed Sahury, Bashir Afraz, Morad Gwaram na Hazir Azad, wote raia wa Iran ambao walikamatwa kwenye Bahari ya Tanzania.
Wengine ni Buksh Mohamed,...

 

11 years ago

Mwananchi

KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’

>Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya raia eneo la Magomeni Mikumi, jijini Dar es Salaam, umekiri kuwa hauna ushahidi huru kwa baadhi ya washtakiwa katika kesi hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab wadai kushambulia AU

Kundi hilo linasema kuwa limeshambulia msafara wa magari ya kikosi cha Muungano wa Afrika, karibu na mji mkuu Mogadishu na kuwaua wanajeshi 7

 

10 years ago

Vijimambo

HUKUMU KESI YA KESI KISUTU


NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.

Hayo yalithibitishwa leo kupitia hukumu iliyosomwa na Hakimu Mkazi Frank Moshi kwa niaba ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, ambaye alisikiliza kesi ya kughushi inayomkabili Macha.

Katika kesi hiyo, Macha alikuwa akikabiliwa na mashitaka matatu ya kughushi hati ya umiliki wa kiwanja kilichopo eneo ya Kigogo, Dar es...

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wadai kuchunguzwa Uganda

Rais Yoweri Museveni amelalamikiwa na baadhi ya wapinzani kuwa anawachunguza kwa maslahi yake binafsi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani