Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau walilia ukiukwaji wa sheria

Wakati Serikali ikieleza nia ya kuhakikisha wananchi wanamiliki ardhi kwa kulegeza masharti ya umiliki, baadhi yao wanadai kuwa bado kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria na masharti hayo hayajalegezwa hali inayoendelea kuwaathiri wengi.

Wameitaka Serikali kuhakikisha uwepo wa ardhi ya kutosha kwa ajili ya wazawa kabla ya kuigawa kwa wawekezaji ili nao waweze kufaidika na rasilimali hiyo nyeti.

Miongoni mwa wananchi waliozungumza na Star Tv kwenye tamasha la wanawake, linalofanyika kwenye viwanja...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mamlaka ya PPRA yabaini ukiukwaji wa sheria

Mamlaka ya kudhibiti Manunuzi ya Umma (PPRA) imezifungia kampuni 7 pamoja na wakurugenzi wake kutoshiriki zabuni za umma kutokana na ukiukwaji wa sheria ya manunuzi.

Adhabu hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa PPRA iliyobaini viashiria vya rushwa kwenye manunuzi ya umma kwa kampuni na taasisi mbalimbali za Serikali tatizo ambalo limedaiwa kuonekana kuwa sugu hali inayoathiri uchumi wa Taifa.

Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Matern Lumbanga amesisitiza juu ya kufungiwa kwa kampuni SABA...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa kilimo EAC walilia kuuza mazao nje ya nchi

Wadau wa kilimo katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesema moja ya sababu inayokwaza sekta hiyo kupata maendeleo ni wakulima kuzuiwa kuuza mazao nje ya nchi zao.

 

10 years ago

Habarileo

Wadau waanza kutoa maoni marekebisho ya sheria 33

KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imeshaanza kukutana na wadau katika kupata maoni kufuatia Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2014, unaopendekeza kuzifanyia marekebisho sheria 33. Muswada huo utawasilishwa katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Novemba 4, mwaka huu mjini Dodoma.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wajadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania

IMG_1226

Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

IMG_1247

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAENDESHA MAFUNZO KWA TAASISI WADAU WA USIMAMIZI WA SHERIA

Mkurugenzi Msaidizi wa Mafunzo, Bibi Felista Tirutangwa (aliyesimama) akizungumza wakati wa kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Taasisi Wadau wa Usimamizi wa Sheria Juu ya Ripoti ya Ukaguzi ya CAG na Jinsi ya Kuitafsiri yaliyofanyika katika Hoteli ya Den France, Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad (aliyesimama) akizungumza wakati wa Mafunzo ya Taasisi Wadau wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wa sekta ya Bima nchini waaswa kushirikiana na TRA kutekeleza sheria mpya ya kodi

05

Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua semina ya wadau wa bima kuhusu sheria mpya ya kodi ya mwaka 2014 ambayo imeanza kutumika Julai Mosi mwaka huu.(Picha na Eleuteri Mangi- MAELEZO).

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Wadau wa sekta ya Bima nchini wameaswa kushirikiana na Serikali kutekeleza sheria mpya ya kodi ya mwaka 2014 ili waweze kutoa huduma kwa jamii yenye tija kwa wakati na kulipa kodi stahiki.

Kauli...

 

10 years ago

Michuzi

TRA yakutanisha Wadau kujadili Sheria Mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 kabla ya kuanza kutumika

Afisa Kodi Mwandamizi Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TRA) Bw. Richard Mwafongo akiwasilishaji kwa Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 ambapo alisema kuwa moja kati ya sababu ya kuandaa sheria hiyo ni kuongeza pato la taifa kupitia makusanyo mbalimbali wakati wa kikao kilichokutanisha wadau mbalimbali leo jijini Dar es salaam.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade akijibu hoja mbalimbali kuhusu Sheria Mpya ya Ongezeko la Thamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani