Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAEKEZAJI WA MAKAMPUNI YA UBELGIJI WAFANYA ZIARA ZANZIBAR.

 Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji Dkt. Diodorus B. Kamala akielezea lengo la ujio wa wawekezaji kutoka Ubelgiji kuja kuwekeza nchini Tanzania alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kufuatia ujio wa wawekezaji wa nchi hiyo Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar Waziri wa Miundombinu na Mawasilino Juma Duni Haji akiwa na watendaji wake wakuu wakimsikiliza Meneja mauzo  wa Kampuni ya ujenzi ya Anglo Belgian Corporation ya Ubelgiji walipofanya mazungumzo Ofisini kwake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA UTURUKI NA BOSNIA WAFANYA ZIARA KATIKA KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR.

 Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Boti kuelekea katika kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi mbalimbali katika ziara yao ya siku mbili ili kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar. Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwasalimia wanafunzi wa madrasa na walimu waliokuja kuwa pokea katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar. Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa...

 

11 years ago

Michuzi

JK arejea nyumbani baada ya ziara ya Uingereza na Ubelgiji

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki baada ya kuwasili leo April 4, 2014 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Brussels, Ubelgiji, alikofanya ziara ya kikazi ya siku mbili na kuhudhuria mkutano wa mataifa ya Afrika na nchi za Jumuiya ya Ulaya. Kabla ya hapo Rais Kikwete alifanya zaiara ya kiserikali ya siku tatu nchini Uingereza kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe David Camaron. PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

MCC, Makampuni 10 ya Kimarekani yamaliza ziara ya kuangalia fursa za biashara na uwekezaji nchini Tanzania

Makamu wa Rais wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) Kamran Khan ( wa pili kulia)  akifafanua jambo wakati wa mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (katikati) na wawakilishi wa makampuni 10 ya Kimarekani, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Bw. Khan aliongoza ziara ya wawakilishi hao wa makampuni ya kimarekani, Wizara ya Biashara ya Marekani na MCC ili kuangalia fursa za uwekezaji katika sekta ya nishati nchini...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI KUTOKA TANZANIA WAANZA ZIARA YA MAFUNZO UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa reli na bandari wa Ubelgiji na Tanzania walionza ziara ya mafunzo leo Ubelgiji. Ziara hiyo ya wiki moja ina lengo la kujifunza mbinu mbalimbali zitakosaidia kuboresha miundombinu ya reli na bandari Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wafanya ziara ya usafi

MADIWANI  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro wamefanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Mpanda yenye lengo la kujifunza  wenzao walivyofanikiwa kuwa  mshindi wa  kwanza  wa usafi ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jukwaa la waekezaji TZ, lazinduliwa

Soko la hisa la Dar Es Salaam Tanzania limezindua jukwaa linalowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji pamoja

 

10 years ago

Vijimambo

UJUMBE WA SUDAN KUSINI WAFANYA ZIARA WIZARA YA UJENZI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga (wa kwanza kulia), akizungumza na viongozi wa ujumbe wa Serikali ya Sudan Kusini waliomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam jana.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga, akizungumza katika kikao cha mafunzo ya kubadilishana uzoefu katika masuala ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na viongozi wa Sudan Kusini. (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi Eng. Venny Ndaymukama,...

 

10 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA WA MOYO WAFANYA ZIARA MKOA WA SIMIYU.



 Madaktari  bingwa kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimfanyia  upasuaji  mgonjwa  katika hosptali ya Wilaya ya Bariadi mkoani  Simiyu Zowezi  hilo lina endelea katika  hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi ya watu 480Bingwa wa magonjwa ya moyo Dokta Tatizo Wane akimpima mgonjwa kwa kutumia mashine ya kisasa inayojulikana kama ECHOCARDIOGRAM Machine Zowezi  hilo lina endelea katika  hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi ya watu 480. Wakazi wa mji wa Bariadi na maeneo...

 

10 years ago

Michuzi

WANACHUO WA ADEM WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO BODI YA MIKOPO

Uelewa finyu juu ya masuala ya utoaji wa mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu umeendelea kuwa chanzo cha baadhi ya wahitaji wa mikopo kulalamika bila kuanza kutafuta chanzo cha wao kutopata mikopo hiyo.
Hayo yamebainika hii leo katika ziara ya mafunzo ya wanachuo 147 kutoka Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) unaoendeshea shughuli zake Bagamoyo mkoani Pwani waliofika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kwa ziara ya mafunzo.
Miongoni mwa maswali yaliyoulizwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani