Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara wa UG waionya Kenya


Wafanyibiashara wa Uganda chini ya muungano wa Wanabiashara wa mji wa Kampala Uganda KACITA wamelipa Shirika la ukusanyaji Ushuru nchini kenya KRA wiki mbili kuitoa mizingo yote inayoelekea Uganda la sivyo waigomee bandari ya Mombasa.

Ilani hiyo iliafikiwa siku ya Alhamisi baada ya saa kadhaa za majadiliano kuhusu athari za hatua ya KRA ya kutoza kodi bidhaa zote zinazoingia katika badari hiyo.

Awali ,wafanyibiashara walikuwa wakilipa ada wanayotozwa wakati wanapochukua mizigo yao pamoja na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waionya TRA

JUMUIYA ya Wafanyabiashara nchini (JWT), imesema kuanzia leo endapo kutatokea mgongano baina ya wafanyabiashara  na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu  suala la mashine za EFDs  wasije wakalaumiwa. Kauli hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafanyibiashara wa UG waionya Kenya

Wafanyibiashara wa Uganda wamelipa Shirika la ukusanyaji Ushuru nchini kenya KRA wiki mbili kushughulikia malalamiko yao

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wateswa na mgogoro wa Kenya, Tanzania

Moshi. Serikali imeombwa kuingilia kati mgogoro unaoendelea baina yake na nchi jirani ya Kenya, kuhusu kuzuiliwa kwa magari ya Tanzania ya kusafirisha watalii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata ili kuleta usawa na ustawi wa sekta ya utalii kwa nchi zote mbili.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara Namanga walalamikia kunyanyaswa nchini Kenya

Wafanyabiashara wa Namanga na Wilaya ya Longido wameiomba Serikali iwajengee Soko kubwa Namanga ili waepukane na usumbufu wanaoupata wanapokwenda Kenya kuuza mifugo, mazao na bidhaa nyingine.
Wafanyabiashara hao walitoa ombi lao jana Septemba 19 wakati wa mkutano na Maofisa wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wanaotembelea mipaka mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu ya Mtangamano wa Afrika Mashariki.
Baadhi ya manyanyaso wanayopata wanadai ni kuombwa kitu kidogo, kupewa malipo kidogo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wafanyabiashara wadogo Kenya walivyoathirika

Imebainika kuwa baadhi ya wafanyibiasha nchini Kenya wamekuwa wakikiuka marufuku ya kutoka nje.

 

11 years ago

GPL

MAKAHABA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA KUKOMESHA UNYANYASAJI DHIDI YA WAFANYABIASHARA YA NGONO KENYA

LEO ni Siku ya Kimataifa Kukomesha Unyanyasaji Dhidi ya Wafanyabiashara ya Ngono Duniani. Nchini Kenya wafanyabiashara ya ngono walijumuika kwa pamoja na kufanya maandamano ya amani jijini Nairobi na Kisumu na kuitaka serikali ishughulikie matatizo yanayowakabili na kutaka kazi yao itambulike rasmi kama kazi nyenginezo. (VIDEO: KTN)

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini waionya Serikali

Siku chache baada ya vurugu kulikumba kongamano la kujadili mambo ya msingi katika Katiba Mpya lililofanyika katika Ukumbi wa Blue Pearl jijini na kuzuka kwa madai ya kupigwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Jaji Joseph Warioba viongozi wa dini wameonya kuwa kuna hatari ya nchi kuingia katika machafuko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Manusura wa Auschwitz waionya dunia

Manusura wa mauaji ya kimbari katika kambo ya Auschwitz wameihimiza dunia kutoruhusu uhalifu wa mauaji hayo ya Holocaust.

 

11 years ago

Habarileo

Mashehe, mapadri waionya NEC

WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza mpango wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura ili kuruhusu Watanzania wenye sifa kujiandikisha upya, viongozi wa dini nchini wameitaka tume hiyo kubadilisha pia siku ya kupiga kura, kutoka siku ya Jumapili ambayo huwa ya ibada hadi siku ya katikati ya wiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani