Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara wateswa na mgogoro wa Kenya, Tanzania

Moshi. Serikali imeombwa kuingilia kati mgogoro unaoendelea baina yake na nchi jirani ya Kenya, kuhusu kuzuiliwa kwa magari ya Tanzania ya kusafirisha watalii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata ili kuleta usawa na ustawi wa sekta ya utalii kwa nchi zote mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tanzania na Kenya zimalize mgogoro

Tangu Desemba 22 mwaka jana, kumekuwa na taarifa kwamba Serikali ya Kenya imezuia magari ya Tanzania, maarufu ‘shuttle’, yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii kati ya jijini Arusha na Moshi mkoani Kilimanjaro kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata uliopo Nairobi nchini Kenya.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro huu wa Tanzania, Kenya ni hasara kwa uchumi

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na mwenzake wa Kenya, Uhuru Kenyatta wamefanikiwa kuondoa sintofahamu iliyoibuka kati ya nchi hizo mbili na kutishia kuvuruga sekta ya utalii ambayo inayoingiza fedha nyingi za kigeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro wa wafanyabiashara usiingizwe siasa

Tumeendelea kushuhudia vitimbi na migomo inayofanywa na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam na katika mikoa mbalimbali nchini. Lengo la wafanyabiashara hao ni kugomea matumizi ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFD) zinazotumiwa kutambua kiasi cha kodi kinachopaswa kutozwa kwa kila mfanyabiashara.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aombwa kumaliza mgogoro wa wafanyabiashara

SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuzuia migogoro ya jumuiya ya wafanyabiashara nchini kwa kuwa imekuwa chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini wajitosa mgogoro wa wafanyabiashara, TRA

>Kamati ya Maadili ya Amani na Haki za Binadamu ya madhehebu ya dini  nchini imemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuzungumza na wafanyabiashara na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kutatua mgogoro uliopo baina yao.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA JUU YA MATUMIZI YA EFDs

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja wafanyabiashara alipotoa Taarifa ya muafaka uliofikiwa kati ya wafanyabiashara na serikali juu ya Matumizi ya Mashine za kielektroniki (EFDs) leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabishara Bw. Johnson Minja na Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mzee Benard Mchovu (Picha na Regnihaldah Mpete-TRA)
Na Anitha Jonas – MAELEZO.
Serikali yafikia muafaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya na TZ kutatua mgogoro wa kitalii

serikali za Tanzania na Kenya zitakutana mjini Arusha kutafuta suluhu ya mzozo kuhusu marufuku ya magari ya kitalii kutoka TZ.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgogoro wa mpaka Kenya na Somalia

Serikali ya Somalia leo hii itafungua rasmi kesi dhidi ya kenya katika Mahakama ya kimataifa (ICJ) kufuatia mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizo mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani