Wafanyibiashara wa UG waionya Kenya
Wafanyibiashara wa Uganda wamelipa Shirika la ukusanyaji Ushuru nchini kenya KRA wiki mbili kushughulikia malalamiko yao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Nov
Wafanyabiashara wa UG waionya Kenya
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/28/141128122052_uganda_traders_512x288_nmg.jpg)
Wafanyibiashara wa Uganda chini ya muungano wa Wanabiashara wa mji wa Kampala Uganda KACITA wamelipa Shirika la ukusanyaji Ushuru nchini kenya KRA wiki mbili kuitoa mizingo yote inayoelekea Uganda la sivyo waigomee bandari ya Mombasa.
Ilani hiyo iliafikiwa siku ya Alhamisi baada ya saa kadhaa za majadiliano kuhusu athari za hatua ya KRA ya kutoza kodi bidhaa zote zinazoingia katika badari hiyo.
Awali ,wafanyibiashara walikuwa wakilipa ada wanayotozwa wakati wanapochukua mizigo yao pamoja na...
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Westgate:Wakimbizi wafanyibiashara Daadab
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Wafanyabiashara waionya TRA
JUMUIYA ya Wafanyabiashara nchini (JWT), imesema kuanzia leo endapo kutatokea mgongano baina ya wafanyabiashara na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu suala la mashine za EFDs wasije wakalaumiwa. Kauli hiyo...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Mashehe, mapadri waionya NEC
WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza mpango wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura ili kuruhusu Watanzania wenye sifa kujiandikisha upya, viongozi wa dini nchini wameitaka tume hiyo kubadilisha pia siku ya kupiga kura, kutoka siku ya Jumapili ambayo huwa ya ibada hadi siku ya katikati ya wiki.
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Viongozi wa dini waionya Serikali
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Manusura wa Auschwitz waionya dunia
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ukawa waionya Serikali bajeti 2015/16
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Wasomi waionya CCM kuhusu Katiba mpya
WASOMI na wafuatiliaji wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuheshimu maoni ya wananchi yaliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Wananchi hao wamefikia hatua...