Wafanyabiashara waishukuru Serikali kulifungua tena Soka la mitumba mjini moshi
Wafanyabiashara ndogo ndogo wa soko la mitumba mjini Moshi mkoani Kilimanjaro maarufu kama soko la Memorial wameshukuru hatua ya Serikali ya kufungua tena milango ya soko hilo iliyokuwa imefungwa kwa takribani mwaka mmoja sasa na kuzorotesha biashara.
Kufungwa kwa mageti hayo kumeelezwa kuzorotesha kasi ya biashara sokoni hapo lakini pia kusababisha adha kubwa kwa wafanyabiashara na wateja wanaofika sokoni hapo
Malango hayo yalifungwa takribani mwaka mmoja uliopita sababu zikitajwa kuwa ni...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Feb
Ndesamburo kugombea tena Moshi Mjini
Na Rodrick Mushi, Moshi
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema), amesema ataendelea kutetea nafasi yake ya ubunge katika jimbo hilo endapo chama chake kitampitisha katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Ndesamburo alitoa kauli hiyo jana katika ufunguzi wa semina ya Baraza la Wanawake wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro (BAWACHA), ambapo alisema chama kisipompitisha yupo tayari kushirikiana na atakayechaguliwa ili jimbo hilo liendelee kubaki mikononi mwa Chadema.
Alisema...
11 years ago
MichuziMarealle apewa tena Ukamanda wa Vijana wa CCM Moshi Mjini
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WAISHUKURU TRA KWA KUWAELIMISHA MASUALA YA KODI
Wafanyabiashara wa Tabata jijini Dar es Salaam wameishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwaelimisha masuala mbalimbali yanayohusu kodi na kusema kuwa, elimu hiyo itawasaidia kuongeza uhiari wa kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
Wakizungumza wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayofanyika jijini hapa, wafanyabiashara hao wamesema kwamba kitendo cha TRA kuwatembelea katika maduka yao na kutoa elimu ya kodi kutaongeza ari ya kulipa...
10 years ago
Vijimambo
CHADEMA MOSHI MJINI WATANGAZA ILANI YA UCHAGUZI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.




5 years ago
Michuzi
WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI UJENZI ZAHANATI
~ Kuwaondolea kero ya afya
~ Waridhishwa na ujenzi
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wananchi wa Kijiji cha Miuta kata ya Miuta wamemshukuru Rais Magufuli na Serikali yake kuwajengea Zahanati ya Miuta ambayo inaenda Kuwaondolea kero ya kupata huduma ya afya.
Wananchi hao ambao awali wameridhishwa na kasi na kiwango cha ujenzi wa Zahanati hiyo wameomba Zahanati hiyo...
10 years ago
Michuzi
MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.




10 years ago
Dewji Blog14 Mar
Picha iliyobamba: Enzi Mbunge wa Iringa Mjini akiuza Mitumba
Mpendwa msomaji ni matumaini yetu unaendelea kuperuzi mtandao wako wa kijamii wa Mo dewji blog, siku zote tupo kwa ajili ya kukuletea habari na matukio mbalimbali kwa njia tofauti ambayo yatakuelimisha, kukuburudisha na kukujenga.
Leo katika picha ya siku ama iliyobamba, ni ya Mbunge wa Iringa, mjini, Mh.Mchungaji Peter Msigwa.
Kwa mujibu wa chanzo cha picha hiyo iliyowekwa na Msigwa mwenyewe, k upitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook na kuipa maelezo haya “Enzi hizo nauza...
5 years ago
MichuziWALIMU IPARAMASA WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA UMEME
Veronica Simba – Chato
Walimu wa Shule ya Msingi Tumaini iliyopo kijiji cha Imalabupina, Kata ya Iparamasa, wilayani Chato, Mkoa wa Geita, wameishukuru Serikali kwa kuunganisha umeme shuleni hapo wakisema nishati hiyo italeta mapinduzi makubwa ya taaluma.
Wametoa shukrani hizo Februari 24, 2020 baada ya Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani kuwasha rasmi umeme katika Shule hiyo.
Akieleza namna shule hiyo itakavyonufaika, Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo, Goodluck Mamele amesema uwepo wa...
5 years ago
Michuzi
WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUANZISHA STAKABADHI GHALANI.

NA YEREMIAS NGERANGERA…NAMTUMBO
Wananchi na wakulima wa mazao ya ufuta .soya ,choroko wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma wanaishukuru serikali kwa kuanzisha mfumo wa mauzo kwa njia ya stakabadhi ghalani ambao unawanufaisha wakulima.
Wakiongea kwenye mnada wa kwanza, wa pili na watatu katika ghala la ushirika lililopo katika mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo ulikokuwa unafanyika mnada huo ,wananchi na wakulima waliohudhuria mnada huo walisema serikali imelenga kuwanufaisha...