Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Vodacom watembelea wagonjwa CCBRT

Mtoto Raphael Barnaba (4) kutoka mkoani Mbeya anayetibiwa miguu katika hospitali ya CCBRT iliyopo jijini Dar es Salaam, akipokea kwa furaha zawadi ya matunda kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Rasilimali Watu, Alice Lewis (katikati) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea wagonjwa katika hospitali hiyo na kuwagawia matunda kama sehemu ya kampeni ya Pamoja na Vodacom chini ya Vodacom Foundation wakati wa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA WAGONJWA CCBRT‏

Mtoto Raphael Barnaba (4) kutoka mkoani Mbeya anayetibiwa miguu katika hospitali ya CCBRT iliyopo jijini Dar es Salaam, akipokea kwa furaha zawadi ya matunda kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Rasilimali Watu, Alice Lewis (katikati) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea wagonjwa katika hospitali hiyo na kuwagawia matunda kama sehemu ya kampeni ya Pamoja na Vodacom chini ya Vodacom...

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Vodacom watoa vyakula CCBRT

WAFANYAKAZI wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom, wamewatembelea wanawake wanaotibiwa katika Hospitali ya CCBRT iliyopo Msasani, Dar es Salaam, ambako pia walipata fursa ya kuwafariji na kutoa msaada wa vyakula, mboga na matunda kwa wagonjwa hao.

 

10 years ago

Michuzi

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MALAIKA KINONDONI

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia), akiongoza wafanyakazi wenzie kutoka kampuni hiyo pamoja na watoto kutoka kituo cha watoto yatima cha Malaika wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam jana kuwasilisha kwa niaba ya wafanyakazi wenzao michango yao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu.Mtoto Upendo (kulia) kutoka kituo cha watoto yatima cha Malaika akipokea sabuni za...

 

9 years ago

Michuzi

MAPAMBANO YA FISTULA YANAENDELEA KWA USHIRIKIANO WA HOSPITALI YA CCBRT NA VODACOM FOUNDATION

Mkurugenzi wa walemavu katika Hospitali ya CCBRT,Brenda Msangi(kulia)akielezea ubora wa simu aina ya ZTE kwa waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa simu 150 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6/=zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation kwa ajili ya kurahisisha huduma za mawasiliano kwa mabalozi wa kampeni ya kutokomeza Fistula nchini.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza,Grace Lyon na Chandra Almony. Mkuu wa Vodacom...

 

11 years ago

Dewji Blog

CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na Fistula

001 FISTULA

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.

Katika maadhimisho ya pili ya siku ya kutokomeza fistula ya uzazi duniani, mabalozi 100 wa kijamii wataendesha warsha za wazi kueneza ujumbe “Fistula...

 

9 years ago

Vijimambo

REDDS MISS TANZANIA 2015 NA MISS KENYA WATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT KUWAFARIJI WAGONGWA

 Miss Kenya, Idah Nguma. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima (kushoto), akiwa na Miss Kenya, Idah Nguma baada ya kuwatembea wagonjwa katika hospitali hiyo.
 Mmoja wa Maofisa kutoka Taasisi ya Smile Train inayofanya kazi na Miss Kenya, Idah Nguma, Jane Ngige akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima (kulia) na Miss Kenya,  Idah Nguma (kushoto), wakiwa na mmoja wa wadau wa Hospitali ya CCBR iliyopo...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI BOA BENKI KUPEPERUSHA BENDERA YAO NA CCBRT MLIMA KILIMANJARO KUANZIA JUMAPILI HII

Naibu Mkuruenzi wa BOA benki, Wasia Mushi akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na wanao kwenda kupeperusha bendera ya benki hiyo pamoja na bendera ya CCBRT katika kilele cha mlima wa Kilimanjaro ikiwa ni kukamilisha mchango wao kama benki kwaajili ya watoto waliozaliwa ikiwa miguu yao imepoza ili wapatiwe matibabu katika Hospitali ya CCBRT, ikiwa ni mchango wao kama benki kusaidia jamii inayosumbuliwa na ugonjwa wa kupinda miguu unaojulikana kwa jina la (KIBWIKO) benki ya BOA...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA FNB WATEMBELEA GLOBAL

Afisa Masoko wa FNB, Anthonia Daviki akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani). Antonia David (wa pili kutoka kushoto) akiwapa maelekezo wafanyakazi wa Global jinsi ya kujiunga na huduma za First National Bank (FNB).…

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA PSPF WATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Wahariri wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) alipotembelea Makao Makuu ya MCL, Tabata Relini jijini Dar es salaam, kulia ni watendaji wa PSPFMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, Bw. Francis Nanai (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, baada ya kikao kazi kati ya Wahariri wa Mwananchi na Watendaji wa PSPF, kushoto ni Bw....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani