Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa madini wagoma Afrika Kusini

Mgomo mkubwa zaidi wa wafanyakazi wa machimbo ya madini ya Platinum nchini Afrika Kusini utaanza siku ya Alhamisi Afrika Kusini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wafanyakazi wagoma Afrika Kusini

Wanachama hao wanataka mishahara kuongezwa maradufu kufuatia mfumuko wa bei nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Maafisa Wakuu 35 kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini (South African National Defence College – NDC), wametembelea Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Septemba 30, 2014 kwa lengo la kujifunza kuhusu Sera ya Tanzania kuhusu vyanzo vya nishati nchini hususan mafuta, gesi, makaa ya mawe na uvumbuzi wa madini mengine na changamoto zake.
Maafisa hao waliongozwa na Mkuu wa Chuo Brigedia Jenerali G.M. Yekelo pamoja na Maafisa kutoka...

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi TAZARA wagoma

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Shoprite wagoma

ZAIDI ya wafanyakazi 100 wa maduka ya Shoprite jijini Dar es Salaam wamegoma baada ya mmiliki wa maduka hayo kushindwa kuwalipa malimbikizo ya fedha zao tangu mwaka 2008 hadi sasa....

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI STRABAG WAGOMA:

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag inayojenga barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam (Dart), wamegoma kufanya kazi wakishinikiza kuongezewa maslahi.

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA HOTELI YA SHARON WAGOMA

Wafanyakazi wa Hoteli ya Sharon iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam wagoma kuendelea na majukumu yao ya kila siku huku kisa kikielezwa kuwa ni kutolipwa mshahara wao wa mwezi Aprili. Habari kutoka eneo la tukio zinasema, mgomo huo umefanyika ikiwa ni baada ya wafanyakazi hao kujiunga na chama cha wafanyakazi kiitwacho Chadau  jambo linalopingwa na uongozi wa hoteli hiyo. ...

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Hospitali ya Regency wagoma

BAADHI ya wafanyakazi wa vitengo mbalimbali katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam jana waligoma kufanya kazi wakilalamikia kutopandishwa mishahara kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI DARAJA LA KIGAMBONI WAGOMA

Wafanyakazi wa Kampuni ya China Major Bridge Engineering Co. ltd wamegoma kuendelea na ujenzi wa daraja la Kigamboni, wakiushinikiza uongozi kuwalipa madai yao. Miongoni mwa mambo wanayodai ni malipo ya mshahara wa kima cha chini cha Sh. 325,000 kilichotangazwa na serikali pamoja na kuwapatia mikabata ya kazi.

Khamis Mpili, alisema tangu mradi wa ujenzi huo uanze kuna wafanyakazi hawajapatiwa mikataba ya kazi, hali inayosababisha kukosa haki zao za msingi zikiwamo malipo ya likizo,...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Uchumi Supermarket wagoma

Wafanyakazi zaidi ya 400 wa Uchumi Super Market jijini hapa jana, waligoma kufanya kazi wakitaka kujua hatima ya mishahara na ajira zao baada ya kusikia tetesi kuwa itafungwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani