Wafanyakazi wauawa Libya
Habari kutoka Libya zinasema wafanyakazi katika kisima kimoja cha mafuta wameuawa katika shambulio moja Jumanne usiku.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 May
24 wauawa nchini libya
Makabiliano makali nchini Libya yamesababisha vifo vya watu 24 baada ya jeshi la angani la taifa hilo kuanzisha mashambulizi.
11 years ago
BBCSwahili02 May
Askari watano wauawa Libya
Watu wenye silaha wameshambulia makao makuu ya jeshi la usalama na kuua askari watano mjini Benghazi, Libya
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Wanajeshi 5 wauawa Benghazi, Libya
Wanajeshi watano wameuawa katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na kambi ya jeshi
11 years ago
BBCSwahili18 May
Watu 70 wauawa katika vita nchini Libya
Maafisa nchini Libya wanasema kuwa idadi ya watu waliofariki katika vita mjini Benghazi imeongezeka na kufikia zaidi ya 70.
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Wafanyakazi wa MSF wauawa Kunduz
Shirika la Medecins Sans Frontieres linasema kuwa wafanyakazi wake watatu wameuawa katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Wafanyakazi wa kikristo waachiwa Libya
Wafanyakazi kumi na watatu Wakristo kutoka Misri wameachiliwa huru baada ya kukamatwa nchini Libya.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Wafanyakazi wa hifadhi wauawa kwa mawe
Mhifadhi wa Wanyamapori, George Kimaro na kibarua Antony Andrew wameuawa kwa kupigwa mawe na wananchi katika Kijiji cha Namonge Rwewenzewe mkoani Geita.
10 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania