Wafanyakazi wa MSF wauawa Kunduz
Shirika la Medecins Sans Frontieres linasema kuwa wafanyakazi wake watatu wameuawa katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
MSF yataka uchunguzi huru Kunduz
Shirika la MSF linataka uchunguzi huru ufanywe kubaini aliyerusha mabomu katika hospitali ya shirika hilo Kunduz, Afghanistan.
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
MSF sasa yasema watu 42 waliuawa Kunduz
Shirika la madaktari wasio na mipaka (MSF) limesema watu waliouawa kwenye hospitali ya shirika hilo Kunduz, Afhanistan ni 42.
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
MSF kuondoa wafanyakazi wake Sudan.K
Shirika la MSF linajiandaa kuwaondoa wafanyakazi wake wa kutoa misaada nchini Sudan kwa sababu maafisa wakuu wanatatiza juhudi zao katika eneo hilo linalokabiliwa na mizozo.
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
Wafanyakazi wauawa Libya
Habari kutoka Libya zinasema wafanyakazi katika kisima kimoja cha mafuta wameuawa katika shambulio moja Jumanne usiku.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Wafanyakazi wa hifadhi wauawa kwa mawe
Mhifadhi wa Wanyamapori, George Kimaro na kibarua Antony Andrew wameuawa kwa kupigwa mawe na wananchi katika Kijiji cha Namonge Rwewenzewe mkoani Geita.
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Majeshi ya NATO yawasili Kunduz
Kikosi maalum cha shirika la kujihami la muungano wa mataifa ya Magharibi NATO, kimefika mji wa Kunduz nchini Afghanistan.
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Kundi la Taliban lafurushwa Kunduz
Maafisa wa Afghanistan wanasema kuwa wamedhibiti maeneo muhimu ya mji wa kaskazini wa Kunduz kutoka kwa wapiganaji wa Taliban.
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Kundi la Taliban lashambulia Kunduz
Mamia ya wapiganaji wa kundi la Taliban wametekeleza mashambulizi katika mji wa Kunduz uliopo kaskazini mwa Afghanistan.
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wanajeshi Afghanistan wajaribu kukomboa Kunduz
Wanajeshi nchini Afghanistan wanajizatiti kujaribu kuukomboa mji wa Kunduz, uliotekwa na wapiganaji wa Taliban.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania