Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafaransa wampa Kapombe Sh milioni 127

Beki Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI Shomari Kapombe atachota kitita cha dola 86,000 (zaidi ya Sh milioni 127) kwa mwaka kutoka Simba. Kapombe ambaye ana mkataba wa miaka miwili na Klabu ya AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, pia ameingia mkataba na Simba ambao utamwezesha kupata fedha hizo. Katika mkataba huo na Simba uliosaini Agosti 19,2013 ambao gazeti hili lina nakala yake, kuna vipengele...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Wafaransa wamkabidhi Kapombe Yanga kwa Sh 154m

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
KLABU ya AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Ufaransa, hatimaye imetangaza kumuuza beki wake Shomari Kapombe. Uongozi wa AS Cannes umesema bei ya Kapombe ambaye bado yuko hapa nchini ni euro 70,000 (Sh milioni 154) huku ikitaja majina ya klabu mbili, Yanga na Azam FC wanakaribishwa kuanza mazungumzo.
Awali, gazeti hili lilipata taarifa za ndani kuhusiana na uamuzi huo, lakini uongozi...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI 80 JIMBONI KWAKE

DSC_0025 Mbunge wa Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na viongozi wa Mahakama ya Qadhi wakati alipotembelea Mahakama hiyo kuona namna inavyohudumia waumini wa Dini ya Kiislamu katika kutatua migogoro ya ndoa. DSC_0133 Mbunge wa jimbo la Singida Mjini,Mh. Mohammed Dewji (MO) akisalimiana na waumini wa Msikiti wa Kata ya Mtipa wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa Msikiti huo, ambapo mara baada ya kuona hatua zilizofikia za ujenzi huo aliahidi kutoa Mabati 50 pamoja na mifuko 50 ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Mohammed G.Dewji (MO) amwaga msaada wa zaidi ya shilingi Milioni 127 kwenye Taasisi za Dini zaidi 80 Jimboni kwake

DSC_0025

Mbunge wa Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na viongozi wa Mahakama ya Qadhi wakati alipotembelea Mahakama hiyo kuona namna inavyohudumia waumini wa Dini ya Kiislamu katika kutatua migogoro ya ndoa.

DSC_0029

Sheikh wa Mahakama ya Qadhi, Ramadhani Kaoja akimweleza Mheshimiwa Mbunge shughuli za Mahakama hiyo pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili, Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida Mjini , Hamis Nguli, wa pili kulia ni Katibu wa Mahakama ya Qadhi, Alhajj B. Mlau.

DSC_0133

Mbunge...

 

11 years ago

GPL

MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI YA 80 JIMBONI KWAKE‏

Mbunge wa Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na viongozi wa Mahakama ya Qadhi wakati alipotembelea Mahakama hiyo kuona namna inavyohudumia waumini wa Dini ya Kiislamu katika kutatua migogoro ya ndoa. Sheikh wa Mahakama ya Qadhi, Ramadhani Kaoja akimweleza Mheshimiwa Mbunge shughuli za Mahakama hiyo pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili, Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida Mjini , Hamis Nguli, wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mashambulizi ya magaidi yatikisa Ufaransa, yaua watu 127

Rais John Magufuli amemtumia salamu za pole Rais wa Ufaransa François Hollande, kutokana na mashambulizi ya kigaidi yaliyogharimu vifo vya watu 127.

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YAOMBOLEZA NA WAFARANSA

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akiandika salamu za rambirambi kufuatia tukio linaloelezwa kuwa la kigaidi ambapo watu kumi na mbili wakiwamo waandishi wa gazeti la Charlie Hebdo waliuawa.
Balozi Tuvako Manongi akibadilishana mawazo na Mabalozi wenzie muda mfupi kabla ya kusaini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa, kufuatia tukio la jumatano ambapo watu kumi na mbili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafaransa 4 waaga Argentina

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ameelezea masikitiko yake baada ya vifo vya watu wanane wengi wao raia wa Ufaransa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafaransa wawili wauawa Zanzibar

>Raia wawili wa Ufaransa wameuawa na kutumbukizwa katika kisima cha maji kilichomo ndani ya uwanja wa nyumba yao na watu wasiojulikana katika eneo la Shehia ya Matemwe Kaskazini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisima ‘walimozikwa’ Wafaransa chakufuliwa

Kazi ya kutafuta mabaki ya miili ya raia wawili wa Ufaransa waliouwawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na kutupwa katika kisima huko Matemwe katika Mkoa wa Kaskazini, imekamilika, imefahamika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani