Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAOMBOLEZA NA WAFARANSA

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akiandika salamu za rambirambi kufuatia tukio linaloelezwa kuwa la kigaidi ambapo watu kumi na mbili wakiwamo waandishi wa gazeti la Charlie Hebdo waliuawa.
Balozi Tuvako Manongi akibadilishana mawazo na Mabalozi wenzie muda mfupi kabla ya kusaini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa, kufuatia tukio la jumatano ambapo watu kumi na mbili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAOMBOLEZA NA WAFARANSA KUFUATIA MAUAJI YALIYOTOKEA HIVI KARIBUNI

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,Balozi Tuvako Manongi akibadilishana mawazo na Mabalozi wenzie muda mfupi kabla ya kusaini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa, kufuatia tukio la jumatano ambapo watu kumi na mbili wakiwamo waandishi wa gazeti la Charlie Hebdo walipoteza maisha Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafaransa 4 waaga Argentina

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ameelezea masikitiko yake baada ya vifo vya watu wanane wengi wao raia wa Ufaransa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisima ‘walimozikwa’ Wafaransa chakufuliwa

Kazi ya kutafuta mabaki ya miili ya raia wawili wa Ufaransa waliouwawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na kutupwa katika kisima huko Matemwe katika Mkoa wa Kaskazini, imekamilika, imefahamika.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisima ‘walimozikwa’ Wafaransa chafukuliwa

>Kazi ya kutafuta mabaki ya miili ya raia wawili wa Ufaransa waliouwawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na kutupwa katika kisima huko Matemwe katika Mkoa wa Kaskazini, imekamilika, imefahamika.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafaransa wawili wauawa Zanzibar

>Raia wawili wa Ufaransa wameuawa na kutumbukizwa katika kisima cha maji kilichomo ndani ya uwanja wa nyumba yao na watu wasiojulikana katika eneo la Shehia ya Matemwe Kaskazini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafaransa 6 wapokonywa vyeti vya usafiri

Ufaransa imewapokonywa raia 6 vyeti vyao vya kusafiria kwa hofu kuwa walikuwa wanakusudia kujiunga na makundi ya jihad

 

11 years ago

GPL

Wafaransa wampa Kapombe Sh milioni 127

Beki Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI Shomari Kapombe atachota kitita cha dola 86,000 (zaidi ya Sh milioni 127) kwa mwaka kutoka Simba. Kapombe ambaye ana mkataba wa miaka miwili na Klabu ya AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, pia ameingia mkataba na Simba ambao utamwezesha kupata fedha hizo. Katika mkataba huo na Simba uliosaini Agosti 19,2013 ambao gazeti hili lina nakala yake, kuna vipengele...

 

10 years ago

Mwananchi

DNA yakwamisha kesi ya mahuaji ya Wafaransa Z’bar

Uchunguzi wa ushahidi kwa kutumia mashine ya vinasaba (DNA), umekwamisha kesi ya mauaji dhidi ya raia wawili wa Ufaransa kuanza kusikilizwa kwa muda wa miezi tisa kutokana na matokeo yake kutopatikana kwa wakati tangu kutokea kwa mauaji hayo katika Kijiji cha Matemwe, Minazi Mirefu Mkoa wa Kaskazini Unguja Desemba mwaka jana.

 

11 years ago

GPL

Wafaransa wamkabidhi Kapombe Yanga kwa Sh 154m

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
KLABU ya AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Ufaransa, hatimaye imetangaza kumuuza beki wake Shomari Kapombe. Uongozi wa AS Cannes umesema bei ya Kapombe ambaye bado yuko hapa nchini ni euro 70,000 (Sh milioni 154) huku ikitaja majina ya klabu mbili, Yanga na Azam FC wanakaribishwa kuanza mazungumzo.
Awali, gazeti hili lilipata taarifa za ndani kuhusiana na uamuzi huo, lakini uongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani