Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafaransa wamkabidhi Kapombe Yanga kwa Sh 154m

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
KLABU ya AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Ufaransa, hatimaye imetangaza kumuuza beki wake Shomari Kapombe. Uongozi wa AS Cannes umesema bei ya Kapombe ambaye bado yuko hapa nchini ni euro 70,000 (Sh milioni 154) huku ikitaja majina ya klabu mbili, Yanga na Azam FC wanakaribishwa kuanza mazungumzo.
Awali, gazeti hili lilipata taarifa za ndani kuhusiana na uamuzi huo, lakini uongozi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Wafaransa wampa Kapombe Sh milioni 127

Beki Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI Shomari Kapombe atachota kitita cha dola 86,000 (zaidi ya Sh milioni 127) kwa mwaka kutoka Simba. Kapombe ambaye ana mkataba wa miaka miwili na Klabu ya AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, pia ameingia mkataba na Simba ambao utamwezesha kupata fedha hizo. Katika mkataba huo na Simba uliosaini Agosti 19,2013 ambao gazeti hili lina nakala yake, kuna vipengele...

 

11 years ago

GPL

Kapombe wa Yanga

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BAADA ya chenga za hapa na pale, kila kitu sasa kimewekwa hadharani kwamba beki wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, ametaka mkataba wake na AS Cannes ya Ufaransa uvunjwe na imeelezwa anataka kubaki nchini na kujiunga na Yanga. Habari za uhakika kutoka ndani ya AS Cannes nchini Ufaransa na kuthibitishwa na wakala wake anayeishi nchini Uholanzi, zimeeleza Kapombe amefanya mazungumzo na Yanga...

 

11 years ago

Dewji Blog

UNHCR wamkabidhi gari mpya Waziri Chikawe, kwa ajili ya Idara ya Wakimbizi nchini

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akipokea ufungua wa gari kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole. Gari hiyo ambayo ni mpya aina ya Toyota Land Cruiser imetolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kiutendaji zifanywazo na Idara ya Wakimbizi nchini iliyopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Tukio la makabidhiano hayo lilifanyika katika ofisi za wizara...

 

5 years ago

Michuzi

TAG Njombe wamkabidhi milioni mbili Ole Sendeka kwa ajili ya kupambana na Corona

Na Amiri kilagalila,Njombe Mkuu wa mkoa wa Njombe Chiristopher Ole Sendeka,amepokea msaada wa fedha shilingi milioni mbili zilizotolewa na ujumbe wa viongozi wa dini wa kanisa la Tanzania assemblies of God (TAG) jimbo la Njombe kusini, uliongozwa na askofu wa jimbo hilo, Phairod Nyagawa kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na virusi vya Corona. “Kwa hiyo nalipongeza kanisa kwa kumuunga mkono Mh.Rais katika msimamo aliouchukuwa”alisema Ole Sendeka mara baaa ya kukabiiwa fedha Vile vile Kufuatia...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YAOMBOLEZA NA WAFARANSA

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akiandika salamu za rambirambi kufuatia tukio linaloelezwa kuwa la kigaidi ambapo watu kumi na mbili wakiwamo waandishi wa gazeti la Charlie Hebdo waliuawa.
Balozi Tuvako Manongi akibadilishana mawazo na Mabalozi wenzie muda mfupi kabla ya kusaini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa, kufuatia tukio la jumatano ambapo watu kumi na mbili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafaransa 4 waaga Argentina

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ameelezea masikitiko yake baada ya vifo vya watu wanane wengi wao raia wa Ufaransa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisima ‘walimozikwa’ Wafaransa chakufuliwa

Kazi ya kutafuta mabaki ya miili ya raia wawili wa Ufaransa waliouwawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na kutupwa katika kisima huko Matemwe katika Mkoa wa Kaskazini, imekamilika, imefahamika.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafaransa wawili wauawa Zanzibar

>Raia wawili wa Ufaransa wameuawa na kutumbukizwa katika kisima cha maji kilichomo ndani ya uwanja wa nyumba yao na watu wasiojulikana katika eneo la Shehia ya Matemwe Kaskazini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisima ‘walimozikwa’ Wafaransa chafukuliwa

>Kazi ya kutafuta mabaki ya miili ya raia wawili wa Ufaransa waliouwawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga na kutupwa katika kisima huko Matemwe katika Mkoa wa Kaskazini, imekamilika, imefahamika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani