WAFUGAJI KANDA YA ZIWA WALALAMIKIA KUNYANYASWA KWAO NA ASKARI WANYAMAPORI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-FlhYZOplVxg/VXHuXBrx3AI/AAAAAAAC5tk/5QHA0IQiiVQ/s72-c/_MG_6177.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji Kanda ya Ziwa Bwa.Mugisha Murshad wakati alipokuwa akitoa malalamiko ya wafugaji kwa ukatili wanaofanyiwa na askari wa wanyamapori katika mapori mbalimbali ya hifadhi kanda ya ziwa.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa wafugaji wamekuwa wakifunga safari kwenda mkoani Dodoma kwa ajili ya kuonana na mawaziri wahusika akiwemo, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
Wafugaji kanda ya ziwa walalamikia kunyanyaswa na askari wa wanyamapori
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akilakiwa na Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Bw. Ali Ame wakati alipowasili katika kata ya Nyakanazi wilayani Biharamulo mkoani Kagera wakati akianza rasmi ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali.
Ziara hiyo itafanyika katika mikoa mitatu ya kanda ya ziwa ambayo ni Kagera yenewe, mkoa wa Geita na kisha atamalizia na mkoa wa Mwanza kwa kufanya mkutano mkubwa wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SsbGMnFFOcQ/VXFpwvFt0sI/AAAAAAAC5oQ/zZJNeKXwfkg/s72-c/2.jpg)
KINANA AANZA ZIARA MKOANI KAGERA LEO, AKUTANA NA MAKUNDI YA WAFUGAJI KANDA YA ZIWA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-SsbGMnFFOcQ/VXFpwvFt0sI/AAAAAAAC5oQ/zZJNeKXwfkg/s1600/2.jpg)
Kinana yupo Mkoani humu kwa ziara ya kikazi ya siku kumi ya Kukagua utelekezwaji wa Ilani ya Chama cha CCM ya mwaka 2010 pamoja na kuimarisha chama na kusikiliza matatizo ya wananchi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-s1NYXnUEfws/VXFrxlK5B-I/AAAAAAAC5ow/iwW81Su2yy0/s1600/6.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oh2xyTqDoOU/VB3moxSEn1I/AAAAAAAGkx8/Xbnpx71g1Vw/s72-c/Machapisho.jpg)
Wafanyabiashara Namanga walalamikia kunyanyaswa nchini Kenya
Wafanyabiashara hao walitoa ombi lao jana Septemba 19 wakati wa mkutano na Maofisa wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wanaotembelea mipaka mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu ya Mtangamano wa Afrika Mashariki.
Baadhi ya manyanyaso wanayopata wanadai ni kuombwa kitu kidogo, kupewa malipo kidogo...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Bunduki yaua askari wanyamapori
ASKARI wa wanyamapori wa kituo cha Mtemera kilichopo Pori la Akiba la Selous, Hassan Nindi (59), amefariki dunia baada ya bunduki aina ya shotgun aliyokuwa nayo kumfyatukia. Taarifa kutoka kwa...
10 years ago
VijimamboNYALANDU AWAPA SOMO ASKARI WANYAMAPORI
10 years ago
Habarileo02 Jan
Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji
ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mqL9_Eb9l3c/VYd9VjcR70I/AAAAAAAHiXg/w8paiqPGy7Q/s72-c/0L7C3303.jpg)
Mafunzo kwa vitendo wa askari wa wanyamapori katika mbuga ya serengeti
![](http://4.bp.blogspot.com/-mqL9_Eb9l3c/VYd9VjcR70I/AAAAAAAHiXg/w8paiqPGy7Q/s1600/0L7C3303.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bOOahD3zSRc/VVDR0ORyAoI/AAAAAAAHWuQ/Jr0aMay31F8/s72-c/IMG-20150508-WA0027.jpg)
WAZIRI NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO
![](http://1.bp.blogspot.com/-bOOahD3zSRc/VVDR0ORyAoI/AAAAAAAHWuQ/Jr0aMay31F8/s1600/IMG-20150508-WA0027.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q5A3kiclWko/VVDRyH8V2BI/AAAAAAAHWuE/rfx6qR7W6kY/s640/IMG-20150508-WA0025.jpg)
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Lowassa atesa kanda ya Ziwa
Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...