Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji wa nyuki walia na nyegere Kwimba

WANAKIKUNDI cha ufugaji nyuki katika kijiji cha Welamasonge wilayani Kwimba, mkoani hapa wamesema mnyama nyegere amekuwa changamoto kwao kwa kunywa asali kabla ya wao kurina.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji nyuki Sikonge wapigwa msasa

SERIKALI Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imesema itaendelea kuboresha na kuongeza thamani ya zao la Nyuki huku ikiagiza kila kaya kuwa na mizinga miwili ili kujiongezea kipato. Hayo yalisemwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda azindua Chama cha Wafugaji Nyuki

IMGS9140

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Tanzania kwenye hoteli ya Morena mjini Dodoma Oktoba 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS9147

 

11 years ago

Mwananchi

Soko la asali lawanyima kipato wafugaji nyuki

Wafugaji nyuki wilayani Handeni mkoani Tanga, wameitaka Serikali kuwapatia soko la kuuzia asali ili waepuke kutapeliwa na walanguzi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Chama cha ushirika SYCCOS chawapiga msasa wafugaji nyuki wa Mkoa wa Singida

DSC04244

Pichani ni Rais wa SYCCOS, Philemon Kiemi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) juu ya semina ya siku mbili ya wadau wa nyuki zaidi ya 500 wa Mkoa wa Singida, Semina iliyoanza jana na kutarajiwa kumalizika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Tatala Beach hotel mjini hapa.

Na Nathaniel Limu, Singida

CHAMA cha Ushirika na Ujasirimali cha Vijana waliomaliza vyuo vikuu (SYCCOS) mkoani Singida kinaendesha semina ya siku mbili kwa wadau zaidi ya 500 wanaojishughulisha na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau waliohudhuria kongamano la Nyuki mjini Arusha, watembelea shamba la darasa la Nyuki wilayani Ikungi

DSC02197
Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Nyuki Gladness Mkanda,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mahambe wilaya ya Ikungi muda mfupi baada ya kuongoza wadau wa nyuki kutoka sehemu mbalimbali duniani,kutembelea shamba darasa la ufugaji bora wa nyuki linalomilikiwa na shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI).Mkamba alitoa wito kwa wananchi kujiunga katika vikundi vya ufugaji Nyuki ili waweze kujikomboa kiuchumi.

DSC02184

Meneja wa shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI), Jonathani Njau,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA KWIMBA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Hilan Mansoor wakati wa mapokezi kwenye kijiji cha Mwamaya kata ya Hungumalwa wilaya ya kwimba mkoani Mwanza.
 Walinzi wa Jadi wa kisukuma maarufu kwa jina la Sungusungu wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye mavazi ya jadi ya walinzi wa Kisukuma maarufu kama Sungusungu.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Habarileo

UN yaguswa na albino wa Kwimba

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez amesema Umoja wa Mataifa (UN) umesikitishwa na kitendo cha kuporwa kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) na watu wasiojulikana kilichotokea katika kijiji cha Ndami wilayani Kwimba mkoani hapa ambapo hadi sasa bado hajapatikana.

 

11 years ago

TheCitizen

Emulate kwimba residents

Last year’s National Form Four examination results have been released. They have been received with mixed reactions by different stakeholders. Some are happy with them while the majority of them are unhappy.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani