Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soko la asali lawanyima kipato wafugaji nyuki

Wafugaji nyuki wilayani Handeni mkoani Tanga, wameitaka Serikali kuwapatia soko la kuuzia asali ili waepuke kutapeliwa na walanguzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SHOGA, NYUKI MKALI KWA ASALI YAKE

Shoga naona leo kicheko mpaka gego la mwisho, najua lazima ucheke kwani ndoa yako ilikuwa imesimamia mguu mmoja leo hii imesimamia miguu miwili, hongera.  Inawezekana nawe ulikuwa mmoja wa waliokuwa wakiichukia kona hii na kuona kama inakufuatafuata. Baada ya maji kufika shingoni, mwenyewe umeyatafuta magazeti ya zamani ili kujua umekosea wapi. Jamani kona hii ipo kwa ajili yetu sote, hata sisi enzi ya ujana wetu tulifanya...

 

11 years ago

Habarileo

Wafugaji wa nyuki walia na nyegere Kwimba

WANAKIKUNDI cha ufugaji nyuki katika kijiji cha Welamasonge wilayani Kwimba, mkoani hapa wamesema mnyama nyegere amekuwa changamoto kwao kwa kunywa asali kabla ya wao kurina.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji nyuki Sikonge wapigwa msasa

SERIKALI Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imesema itaendelea kuboresha na kuongeza thamani ya zao la Nyuki huku ikiagiza kila kaya kuwa na mizinga miwili ili kujiongezea kipato. Hayo yalisemwa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pinda azindua Chama cha Wafugaji Nyuki

IMGS9140

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Tanzania kwenye hoteli ya Morena mjini Dodoma Oktoba 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS9147

 

10 years ago

Dewji Blog

Chama cha ushirika SYCCOS chawapiga msasa wafugaji nyuki wa Mkoa wa Singida

DSC04244

Pichani ni Rais wa SYCCOS, Philemon Kiemi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) juu ya semina ya siku mbili ya wadau wa nyuki zaidi ya 500 wa Mkoa wa Singida, Semina iliyoanza jana na kutarajiwa kumalizika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Tatala Beach hotel mjini hapa.

Na Nathaniel Limu, Singida

CHAMA cha Ushirika na Ujasirimali cha Vijana waliomaliza vyuo vikuu (SYCCOS) mkoani Singida kinaendesha semina ya siku mbili kwa wadau zaidi ya 500 wanaojishughulisha na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya wananchi 3,000 Wilaya ya Ikungi Singida kunufaika na soko la asali chini ya mradi wa FU-DI kwa ufadhili wa UNDP

RC

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk Parseko Kone akizungumza na wanavikundi 49 vya ufugaji wa Nyuki katika Wilaya ya Ikungi wakati wa uzinduzi wa mradi wa FU-DI na ugawaji wa mizinga ya Nyuki pamoja na vifaa.

Na Hillary Shoo, IKUNGI.

ZAIDI ya wananchi 3,000 watanufaika na soko la asali kupitia taasisi ya Kijamii  ya fursa za kimaendeleo ‘Future Development Initiatives’ (Fu-DI) Mkoani Singida, kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

Wakizungumza wakati wa hafla fupi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau waliohudhuria kongamano la Nyuki mjini Arusha, watembelea shamba la darasa la Nyuki wilayani Ikungi

DSC02197
Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Nyuki Gladness Mkanda,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mahambe wilaya ya Ikungi muda mfupi baada ya kuongoza wadau wa nyuki kutoka sehemu mbalimbali duniani,kutembelea shamba darasa la ufugaji bora wa nyuki linalomilikiwa na shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI).Mkamba alitoa wito kwa wananchi kujiunga katika vikundi vya ufugaji Nyuki ili waweze kujikomboa kiuchumi.

DSC02184

Meneja wa shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI), Jonathani Njau,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani