Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFUGAJI WAVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI ,WACHOMA NYUMBA ,MAGARI


Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Siha ,Rashid Kitambulilo akimuongoza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakati akitembelea eneo la mwekezaji la Tanganyika Film and Safari ambako wafugaji jamii ya Masai wanadaiwa kufanya uharibifu mkubwa.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu  uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitizama moja ya gari lililochomwa moto na watu wanaodaiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

10 years ago

Michuzi

nyumba, magari mawili yateketezwa kwa moto katika vurugu eneo la Olasiti jijini Arusha leo

Vurugu kubwa zinaripotiwa kutokea leo maeneo ya Olasiti jijini Arusha baaada ya habari ambazo bado kuthibitishwa rasmi zimeanza kufuatia mtu mmoja kukuta mfanyakazi wake wa kike akiwa  amelala  na anayedaiwa kuwa mpenzi wake ndani ya nyumba anayofanyia kazi. Inasemekana baba mwenye nyumba alikasirika sana kwa kitendo hicho na akampiga huyo kijan hadi akafa. Ndipo marafiki wa huyo anayedaiwa kuuwawa wakakusanyika nyumbani hapo na kuchoma moto nyumba na magari mawili kabla askari wa kutuliza...

 

10 years ago

Vijimambo

MAGARI TISA YATEKETEZWA KWA MOTO, NYUMBA 16 ZATIWA MOTO MGOGORO WA ENEO LA MALISHO SIHA

Mabaki ya nyumba yaliyoteketezwa kwa moto na wafugaji wa kimasaii wakidai eneo la malisho yao.(picha: Elias Kija, Siha, Kilimanjaro)Jeshi la Polisi likiwa limeimarisha ulinzi katika kijiji cha Miti-Mirefu wilayani Siha. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiliangalia mojawapo la gari la mwekezaji lililochomwa moto katika eneo la Ndarakwai. Mwekezaji wa eneo la Ndarakwai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Peter Jones akizungumza na wanahabari katika eneo la tukio.Kwa picha na maelezo...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI ARUMERU WAVAMIA SHAMBA LA MWEKEZAJI LA KARAMU

Baaadhi ya mabango yaliyokutwa katika Karamu lililopo kijiji cha Nndatu wilayani Arumeru baada ya wananchi kuvamia shamaba hilo usiku wa manane na kuamua kuotesha migomba.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwa ameongozana na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kutembelea eneo hilola Shamba akiungana mkono na hatua hiyo ya wananchi.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Nkoaranga na Poli wameingia katika Shamba la Karamu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi Arumeru wavamia shamba la mwekezaji la Karamu Estate

IMG-20150326-WA0035

IMG-20150326-WA0034

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa ameongozana na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kutembelea eneo hilo la Shamba akiungana mkono na hatua hiyo ya wananchi.

IMG-20150326-WA0045

Baadhi ya mabango yaliyokutwa katika Karamu lililopo kijiji cha Nndatu wilayani Arumeru baada ya wananchi kuvamia shamba hilo usiku wa manane na kuamua kuotesha migomba.

Baadhi ya wananchi katika kijiji cha ARUMERU, Nkoaranga na Poli wameingia katika Shamba la Karamu (Karamu Estate) usiku wa manane na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wachoma magari ya hospitali ,India

Makundi ya raia wenye hasira kutoka vijiji vya Mashariki mwa wamevamia hospitali ya serikali na kuchoma moto magari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wavamia Pori la Akiba la Selous

MOROGORO ni miongoni mwa mikoa iliyogubikwa na migogoro ya wakulima na wafugaji. Hali hiyo imesababisha mapigano ya mara kwa mara huku baadhi yao wakibaki na ulemavu na wengine kupoteza maisha....

 

10 years ago

Mwananchi

MALALAMIKO: Wafugaji Wakenya wavamia Rombo

>Wafugaji wa jamii ya Kimasai kutoka Kenya, wamevamia makazi ya wakulima wilayani hapa na kuingiza mifugo yao kwenye mashamba hali inayosababisha uharibifu wa mazao.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafuasi Ukawa wachoma nyumba ya mwenezi CCM

Wafuasi wa Chadema juzi walichoma moto nyumba ya Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Lindi, Khalfani Mndanje kwa kile kilichoelezwa kuwagonga na kuwajeruhi watu wanane waliokuwa wakitoka kwenye kampeni za mgombea urais wao, Edward Lowassa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani