Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafumania nyavu 19 waliosahaulika mapema

Kwa miaka zaidi ya themanini tangu kuanzisha kwa Kombe la Dunia kumekuwa na majina mbalimbali yakitawala katika orodha ya wafungaji mahiri wa fainali hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

FALSAFA MBADALA: Waelimike mapema badala ya kuzaa mapema

Mimba kwa wasichana wadogo ni miongoni mwa sababu zinazowakatisha masomo wasichana wengi hapa Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Shelder; mtaalamu wa kufumania nyavu

Mashindano ya Airtel Rising Stars 2014 yamemalizika kwa timu ya wasichana Mkoa wa kisoka wa Temeke, kutwaa ubingwa wa mashindano hayo baada ya kuifunga Timu ya Kinondoni kwa mikwaju ya penalti 4-3.

 

9 years ago

Mwananchi

Samatta kinara wa kufumania nyavu Afrika

Sasa ni dhahiri kwamba Mtanzania anayechezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbwana Ally Samatta anakaribia kutwaa kiatu cha dhahabu kwa ufungaji bora katika ligi ya Mabingwa Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Vita ya wachana nyavu

Ukizubaa, imekula kwako! Hiki ndicho kinachotarajiwa kutokea leo wakati washambuliaji vinara wa ufungaji watakapoonyeshana ubavu katika mechi za robo fainali ya Kombe la Dunia.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali yacharukia viwanda vya nyavu


WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amesema viwanda vyote vinavyotengeneza nyavu haramu zinazotumika katika shughuli za uvuvi vitachukuliwa hatua za kisheria.


Dk. Kamani amesema hatua hizo pia zitachukuliwa kwa wafanyabiashara wanaouza nyavu hizo na wale wanaozinunua na kuzitumia katika uvuvi kwa vile kufanya hivyo ni kosa kisheria.


Alikuwa akijibu swali la nyongeza la Jasson Rweikiza (Bukoba Vijijini-CCM), aliyetaka kujua kwa nini serikali inashindwa kuwachukulia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka wauza nyavu wakamatwe

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza (CCM), ameitaka serikali kueleza sababu za kuwakamata wavuvi wanaotumia nyavu za macho madogo badala ya kuwakamata wauzaji wa nyavu hizo. Alitaka kujua hayo bungeni...

 

5 years ago

Michuzi

NYAVU HARAM ZAKAMATWA NA KUTEKETEZWA WILAYANI BUSEGA











Jumla ya Nyavu 110, kokoro 2 na timber 32 zilizokuwa zinatumika katika uvuvi haram zimekamatwa na kuteketezwa na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Vifaa hivyo vimekamatwa kati ya tarehe 19/05/2020 na 04/06/2020 katika vijiji vya Nyakaboja kata ya Kabita na Maega Kata ya Kalemela.

Uvuvi haram umekuwa changamoto ukanda wa Ziwa Viktoria, hivyo Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Busega imeanza kupambana na wavuvi wanaotumia vifaa visivyokubalika...

 

10 years ago

StarTV

Uvuvi haramu, Nyavu za zaidi ya sh. mil. 200 zakamatwa.

Na Mariam Emily,

Bukoba.

 

 

Idara za uvuvi za mikoa ya Kagera na Geita zimekamata zana haramu za uvuvi zenye thamani zaidi ya shilingi milioni mia mbili katika doria ya wiki mbili iliyofanyika kwenye visiwa na fukwe za mikoa hiyo inayopakana na ziwa Victoria.

 

Hata hivyo maafisa wa uvuvi wa mikoa hiyo wameshauri kuwepo na sheria kali inayolenga kuwaadhibu watu wanaoendelea kutumia zana zisizoruhusiwa ili kutokomeza uvuvi haramu.

 

Baadhi ya makokoro kati ya makokoro sabini na saba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abdallah Juma ang’ara kwa kuchana nyavu ‘Mchangani’ 

MSHAMBULIAJI wa timu ya Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania bara, Abdallah Juma ameibukia mashindano ya mchangani ‘ndondo’ akiwa na timu ya Makumira FC  inayoshiriki michuano ya TPC Challenge iliyoanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani