Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagoma kulipa ushuru wakitaka soko lisafishwe

Wafanyabiashara katika Soko la Sido jijini Mbeya, juzi waligoma kulipa ushuru, wakishinikiza kwanza halmashauri ya jiji kuondoa taka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR

Chemba iliyowazi kwa muda mrefu maeneo ya Afrika sana.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Wagoma wakitaka marufuku kuondolewa Lamu

Wafanyibiashara na wakaazi wa Lamu kusini mwa Kenya wamefanya mgomo kuhusu kuongezwa kwa mda wa marufuku ya kutotoka nje

 

10 years ago

Michuzi

MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA NISHATI NA MADINI


TANGAZO.


MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU WA HUDUMA KWA KIWANGO CHA 0.3% YA MAPATO GHAFI KWA HALMASHAURI ZA WILAYA NA MIJI.
Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na kampuni ya Acacia Mining, imeanza kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango...

 

5 years ago

Michuzi

Asilimia 25 ya ushuru kwenye chupa za kioo àutavuruga biashara soko la Afrika Mashariki

Nchi ya Kenya imeweka asilimia 25% ya ushuru wa bidhaa za chupa za kioo (glass bottles) zinazotengezwa na kampuni ya kioo Limited kutoka Tanzania.

Kioo Limited ni kampuni ya kizalendo ambayo imekuwa kwa muda mrefu ikizalisha bidhaa za chupa za kioo na kuuza ndani na nje ya Tanzania.

Kampuni hii imekuwa ikibadili malighafi zinazopatikana hapahapa nchini na kuzigeuza kuwa bidhaa zenye thamani kama ambavyo imekuwa ikisisitizwa na Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli katika hotuba zake...

 

5 years ago

Michuzi

WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV,  
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.

Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo,  Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi washtukiwa wakitaka kupora benki

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linaendelea kuwatafuta watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliofika katika Benki ya Stanbic tawi la Kariakoo juzi mchana kwa lengo la kufanya uporaji.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta: Watanzania wakitaka nitakuwa rais

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA RACHEL MRISHO, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, jana ametumia mwamvuli wa Bunge hilo kujipigia debe la urais na kudai kuwa ana sifa za kuliongoza taifa.

Akiwa katika kikao cha 31 cha mjadala wa wazi wa Bunge Maalumu la Katiba mjini hapa, Sitta alisema baadhi ya watu wameanza kumwandama wakidai kuwa kutokana na anavyoliongoza Bunge hilo ameonyesha kuwa hana sifa ya kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wasusia kikao wakitaka posho

WALIMU 175 wa masomo ya sayansi mkoani Simiyu wameingia kwenye mgomo wa kutoshiriki semina iliyokuwa ikiendelea wilayani Bariadi kwa kutofahamu kiasi cha posho watakacholipwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani