Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta: Watanzania wakitaka nitakuwa rais

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA RACHEL MRISHO, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, jana ametumia mwamvuli wa Bunge hilo kujipigia debe la urais na kudai kuwa ana sifa za kuliongoza taifa.

Akiwa katika kikao cha 31 cha mjadala wa wazi wa Bunge Maalumu la Katiba mjini hapa, Sitta alisema baadhi ya watu wameanza kumwandama wakidai kuwa kutokana na anavyoliongoza Bunge hilo ameonyesha kuwa hana sifa ya kuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nitakuwa wa mwisho kumpinga Rais Kikwete

JUZI Rais Jakaya Kikwete alitoa hotuba ya kuzindua Bunge iliyonikuna sana, hotuba yake ilijaa majibu ‘mujarab’ kwa hotuba iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta anawahadaa Watanzania

WADAU, wanaharakati, wanasiasa na wananchi mbalimbali wamekuwa wakipaza sauti juu ya mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini Dodoma. Bunge hilo lilianza kuingia dosari pale wajumbe wa bunge hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Sitta ahadaa Watanzania’

IMEELEZWA kuwa kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya Maridhiano ni cha kuwahadaa Watanzania. Hayo yameelezwa jana na Mwinjilisti wa Kanisa la Tanzania Assemblies...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sitta azidi kupingwa, adaiwa kuhadaa watanzania

sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta.

Na Mwandishi wetu

Mwinjilisti wa Kanisa la TAG liliko Mbagala wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Medad Kyabashasa, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya maridhiano ni kitendo cha kuwahadaa Watanzania.

Hadaa hiyo ni yakutaka kuwafanya wajumbe wanaopigania Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao wametoka nje ya bunge hilo kupinga ubabe unaofanywa na wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi, waonekane ni...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Nitakuwa Mbowe tofauti Chadema’

Mara tu baada ya kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza vita kwa makada na viongozi wa chama hicho, akisema katika awamu yake ya tatu atakuwa Mbowe tofauti.

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE: NITAKUWA MBUNGE OMBAOMBA!

Brighton Masalu MCHEKESHAJI maarufu, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema atakuwa mbunge ombaomba kwa wadau, serikali na mashirika binafsi katika kutatua matatizo mbalimbali ya Jimbo la Kinondoni. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema ana uzoefu wa kuomba, hivyo hataona haya kutumia kipaji chake cha kushawishi katika kuomba mafanikio na anaamini yeye ni jibu sahihi kwa wananchi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lugola: Nitakuwa wa mwisho kuisaliti Rasimu ya Warioba

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Kangi Lugola ameapa kuwa atakufa na tai shingoni kwa kuitetea hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kuwa ndiyo iliyobeba mawazo ya watu wengi

 

11 years ago

GPL

JOHARI: HARUSI YA RAY NITAKUWA MWANDAAJI CHAKULA

Na Erick Evarist
MKONGWE kwenye sanaa Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa endapo ikitokea mkurugenzi mwenzake, Vincent Kigos akaoa, yeye atajitolea kuwa mwandaaji wa chakula. Mkongwe kwenye sanaa Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na mwanahabari wetu mwishoni mwa wiki iliyopita, Johari alisema yeye na Ray ni watu wa karibu kwa kuwa wameiongoza kampuni yao kwa muda mrefu hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani