Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea 6 wa urais nchini Burundi waidhinishwa, 4 watemwa

Tume ya Uchaguzi nchini Burundi (CENI) imeidhinisha majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa urais unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.

Miongoni mwa wagombea walioidhinishwa na CENI ni Jenerali Evariste Ndayishimiye, Katibu Mkuu wa chama tawala cha CNDD-FDD na kinara wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha National Congress for Liberty (CNL) Agathon Rwasa; wawili hao wanatazamiwa kuchuana vikali kwenye uchaguzi huo.

Hata hivyo CENI imetupilia mbali faili la aliyekuwa rais wa Burundi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

WAGOMBEA NANE WAIDHINISHWA NA TUME YA UCHAGUZI KUGOMBEA NAFASI YA URAIS NCHINI.

Vyama vilivyoshindwa kukidhi vigezo ni CCK, TADEA, DP na AFP amabyo imeingia mitini ambapo akizungumza na waandishi wa habari nje ya ofisi za tume baada ya tume kuwatangazia kushindwa kukidhi vigezo mwenyekiti wa CCK Bw Costantine Akitanda amesema.Wagombea urais waliowahi mapema asubuhi ni Mh Edward Lowassa Chadema na Dk Jonh Magufuli wa CCM ambapo kwa nyakati tofauti waliowasili ofisi hizo za tume wakiwa na wapambe wao wachache na mara baada ya kuidhinishwa na mwenyekiti wa tume ya taifa ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Bocco, Moris watemwa safari ya Burundi

Timu ya Taifa, Taifa Stars

Timu ya Taifa, Taifa Stars

NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka leo alfajiri kuelekea mjini Bujumbura, kwa ajili ya kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyo katika Kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) dhidi ya Burundi, huku wachezaji sita wakitemwa katika safari hiyo.

Wachezaji hao waliotemwa katika msafara huo kwa ajili ya mechi itakayochezwa Jumapili mjini humo, ni John  Bocco, Aggrey Morris, Mwagane Yeya, Edward...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa urais nchini Burundi

Gruneti limelipuka katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura wakati nchi hiyo ikijiandaa kufanya uchaguzi wa urais.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mgombea wa chama tawala nchini Burundi ashinda urais

Mgombea wa chama tawala nchini Burundi ashinda uchaguzi kwa 68.7% ya kura

 

10 years ago

GPL

VURUGU ZAZUKA NCHINI BURUNDI BAADA YA RAIS NKURUNZIZA KUTEULIWA KUGOMBEA TENA URAIS

Waandamanaji wakiwa Mjini Bujumbura. Kumezuka ghasia katika Mji wa Bujumbura nchini Burundi kati ya maofisa wa polisi na waandamanaji wanaoishutumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba. Waandamanaji walirusha mawe na kuchoma matairi huku maofisa wa polisi wakilazimika kurusha mabomu ya machozi hewani. Ghasia hizo zinafuatia tangazo la jana kwamba Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameteuliwa na chama chake kuwania muhula wa...

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA TAWALA NCHINI BURUNDI CNDD-FDD CHASHINDA KITI CHA URAIS, AGATHON RWASA WA UPINZANI CHALI

Evariste NdayishimiyeBURUNDI
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala nchini humo CNDD-FDD Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.

Jenerali mstaafu huyo ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo.

Kwa kuwa Ndayishimiye amepata zaidi ya 50% ya kura, ameepuka kufanyika kwa duru ya pili ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndoto za wagombea urais

W agombea urais John Magufuli (CCM), Edward Lowassa (Chadema) na Anna Mghwira (ACT-Wazalendo), wanaendelea kuomba ridhaa ya Watanzania ili kuunda Serikali ya Awamu ya Tano, huku kila mmoja akija na sera anayoamini kuwa ni nzuri na tofauti  na mwenzake.

 

9 years ago

Habarileo

Wagombea urais wapewa somo

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP), Said Soud amewataka wagombea wenzake wa nafasi hiyo kuweka mbele uzalendo na si tamaa na ubinafsi wa madaraka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani