‘Wagombea epukeni lugha zinazochochea hofu, vurugu’
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imewataka viongozi wa vyama vya siasa na wagombea, waepuke lugha zinazoweza kusababisha hofu, vurugu na uvunjifu wa amani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Aug
‘Epukeni wagombea wenye kutoa fedha’
WATANZANIA wametakiwa kujihadhari na wanasiasa wanaowania urais, ubunge na udiwani kwa kutumia fedha ili kuepusha taifa kuongozwa na watu wenye nguvu za fedha, badala ya kusimamia Katiba ya nchi.
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Dawa ya wagombea wanaotumia lugha za matusi, vitisho yaiva
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Hofu ya vurugu yatanda jimbo la Kalenga
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Vurugu zaibuka mkutanoni, wagombea wavutana
10 years ago
Habarileo15 Jan
Nabii awatoa hofu ya kufa wagombea urais
SERIKALI imeombwa kuimarisha ulinzi wa kutosha katika kuelekea uchaguzi mkuu ili wananchi waendelee kuishi kwa amani na utulivu.
11 years ago
Michuzi
WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA

Akizungumza leo kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
‘Epukeni tiba za kitapeli’
MKURUGENZI wa Kitengo cha Tiba Asili na Tiba Mbadala, Dk. Poul Mhare, amewataka wananchi kujiepusha na matapeli wanaoweka mabango barabarani na kujifanya wanatibu magonjwa mbalimbali kwa tiba asilia. Alitoa kauli...