Wagombea udiwani wadaiwa kutishiana maisha
YAPO madai kuwa wagombea wa kiti cha udiwani kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Bugarama wanatishiana maisha baada ya mmoja wao kutangazwa mshindi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Aug
CCM yatambulisha wagombea udiwani, ubunge
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqxQSKXKvxSGUFMFz9TtxF3Bs*OBQXiDz1wB4BtRN-5TARspxoKApgqvscQTWUMrnSOvL9*XVF-pyW7xqpuA2LO1/Chadema_logo.jpg)
CHADEMA YATANGAZA WAGOMBEA WA UDIWANI KANDA YA KASKAZINI
10 years ago
VijimamboFOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO
10 years ago
MichuziFOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO-LUBUVA
10 years ago
VijimamboWANAWAKE WAGOMBEA WAWEKA MIKAKATI YA KUSHINDA UDIWANI NA UBUNGE 2015
Kwa Mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Idadi ya Watanzania sasa imefikia milioni 44.9 huku wanawake wakiwa ni asilimia 51.3 ilihali wanaume ni asilimia 48.7. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inabainisha kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni ya kidemokrasia, ya kidunia ambayo...
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Nundu, wagombea udiwani CCM wafungua kesi kupinga matokeo
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Felix Mabula akataliwa na wagombea Ubunge na Udiwani wa Chadema jimbo la Hanan’g
Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Derick Magoma akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya kutokua na imani na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo ambaye ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Hanang Felix Mabula madai ambayo wamewasilisha kwa tume ya uchaguzi iteue Msimamizi ili kufanikisha uchaguzi huru na wa haki.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Hanan`g Isack Joseph na kulia ni Mgombea udiwani kata ya Endasiwold John Farayo. (Habari picha na Woinde Shizza).
Wagombea wa Nafasi za...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oSAdf26Jffc/VdOojNhn9VI/AAAAAAAHyEY/OrRoJorUd3c/s72-c/blogger-image--1067664046.jpg)
MWAMOTO awaomba waliokuwa wagombea ubunge na udiwani Kilolo kuvunja makundi
![](http://1.bp.blogspot.com/-oSAdf26Jffc/VdOojNhn9VI/AAAAAAAHyEY/OrRoJorUd3c/s640/blogger-image--1067664046.jpg)
Na MatukiodaimaBlog, Kilolo
Mgombea mteule ubunge ccm jimbo la Kilolo Venance Mwamoto ametangaza msahama kwa wajumbe wa kamati ya siasa na wagombea udiwani ambao walikuwa upande wa mbunge wa zamani Prof Peter Msolla huku akiwataka kupenda ili kuwezesha jimbo hilo kupiga hatua ya kimaendeleo Mwamoto alisema kuwa hana kinyongo na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hmmbwP_UTfs/VcgrWt3BtZI/AAAAAAAATBo/KLSncNB5xrU/s72-c/DSCF6166%2B%25281280x960%2529.jpg)
NCCR-MAGEUZI WAANZA KUSHAMBULIA JIMBO LA VUNJO,WAWATAMBULISHA WAGOMBEA WA NAFASI YA UDIWANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-hmmbwP_UTfs/VcgrWt3BtZI/AAAAAAAATBo/KLSncNB5xrU/s640/DSCF6166%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-pmtEFHtX4J4/Vcgq492RsCI/AAAAAAAATAQ/FA9cW-hLGSQ/s640/DSCF6138%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KhscmY-WZ_8/Vcgq6OvrQQI/AAAAAAAATAY/3P0uUHDbb5U/s640/DSCF6141%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-6khWhQPBuos/Vcgq12mwuyI/AAAAAAAATAI/VuqLNv1G17Q/s640/DSCF6140%2B%25281280x960%2529.jpg)