Wagombea wenye dhamira tofauti
Jabir Idrissa JENGA picha kwa haya: Wakati mgombea urais mshindani mkubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maalim Seif Shariff Hamad anahutubia mkutano wa kampeni yake, Jimbo la Mpendae, ghafla gari iliyofunga maspika inapita. Inapita uwanjani Kwa […]
The post Wagombea wenye dhamira tofauti appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Hawatutaki wenye fikra tofauti
NI kawaida yangu kila Ijumaa kutembelea saluni iliyo jirani na nyumbani kwangu pale Magomeni, Dar
Mwandishi Wetu
10 years ago
Habarileo12 Aug
‘Epukeni wagombea wenye kutoa fedha’
WATANZANIA wametakiwa kujihadhari na wanasiasa wanaowania urais, ubunge na udiwani kwa kutumia fedha ili kuepusha taifa kuongozwa na watu wenye nguvu za fedha, badala ya kusimamia Katiba ya nchi.
9 years ago
Habarileo30 Aug
Askofu: Msichague wagombea wenye makandokando mengi
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk Barnabas Mtokambali, amewataka Watanzania kumkataa mgombea mwenye makandokando ya ufisadi na rushwa na kuelekeza nguvu kwenye masanduku ya kura ili wezi na mafisadi wasipate uongozi.
9 years ago
Habarileo22 Aug
Haki za Binadamu wang’ang’ania uadilifu wagombea wenye kashfa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kutoa orodha ya viongozi wa umma wanaogombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu, ambao walishahojiwa na kuwekwa hatiani kutokana na maadili yao.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Tofauti kati ya wenye nacho na wasio nacho hatari kwa amani
TANZANIA imepata kusifika duniani kwa amani iliyopo miongoni mwa wananchi na ukarimu kwa wageni. Wanapokuja hapa kwa madhumuni mbalimbali binafsi, kwa kiasi kikubwa ni kivutio kikubwa kimojawapo katika masuala ya...
10 years ago
Mwananchi10 Nov
‘Vita ya ujangili inataka dhamira’
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Wassira: Bado nina dhamira ya urais
WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Kauli hiyo, aliitoa jana wakati akifanya mahojiano kwenye...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Dhamira ya kweli iwepo kufufua reli
KATIKA gazeti hili toleo la jana kulikuwa na habari inayoeleza dhamira ya serikali ya kununua vichwa vipya 13 vya treni, mabehewa 22 ya abiria na mengine 204 kwa ajili ya...
10 years ago
Habarileo13 Jan
Kikwete apongezwa kwa dhamira ya kutokomeza umasikini
HALMASHAURI ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa jitihada na dhamira yake ya dhati ya kupambana na umaskini hapa nchini kupitia mpango wa kuzinusuru na kuziwezesha kaya masikini kiuchumi.