Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahandisi nchini washauri sera ya ujenzi izingatiwe

Shirikisho la Kampuni za Kihandisi Tanzania (TACECA) na wadau wengine wa sekta ya uhandisi wameeleza kutoridhishwa na mwendo wa kinyonga katika kutekeleza sera ya ujenzi (CIP) tangu ilipoundwa mwaka 2003.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Washauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema

WADAU na vijana mkoani Kilimanjaro, wameishauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema ya mwaka 1993-1994, ambayo inazungumzia majukumu ya hifadhi za utalii katika kuchangia maendeleo kwenye maeneo yanayozunguka hifadhi hizo.

 

10 years ago

GPL

SHIRIKA LA KAZI LAANDAA SEMINA KWA WAHANDISI WA UJENZI

Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa ILO, Joyce B.Mwambungu, akizungumza jambo katika mkutano huo. Wahandisi wa majengo wakifuatilia majadiliano kwenye mkutano huo.…

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA UJENZI AFUNGA RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahandisi mbalimbali hawapo pichani kuhusu umuhimu wa Taaluma ya Uhandisi na Maendeleo nchini kabla ya kufunga mkutano huo wa mwaka uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB).
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wapili kutoka kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Profesa Ninatubu Lema… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AFUNGA RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA.

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahandisi mbalimbali hawapo pichani kuhusu umuhimu wa Taaluma ya Uhandisi na Maendeleo nchini kabla ya kufunga mkutano huo wa mwaka uliondaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB).Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wapili kutoka kulia akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Profesa Ninatubu Lema wakawanza kushoto pamoja na Mbunge wa Tunduru kaskazini, Mheshimiwa Ramo Makani wakikagua...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI KUFUNGUA RASMI MAADHIMISHO YA 12 YA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania yatakayofanyika tarehe 4 na 5 Septemba 2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Akitoa taarifa hiyo katika Ofisi ya Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mwenyekiti wa Maandalizi ya Bodi hiyo Mhandisi Bakari Mwinyiwiwa, amesema maadhimisho hayo yatakayobeba kauli mbiu isemayo “jukumu la wahandisi kwenye utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa” yana...

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA TAIFA LA UJENZI KATIKA MKUTANO WA 13 WA BODI YA USAJIRI YA WAHANDISI TANZANIA

 Katibu Mkuu  Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea Banda la NCC katika mkutano wa 13 wa bodi ya Wahandisi TanzaniaKatibu Mkuu  Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ( wa kwanza kulia) akipata maelezo ya baadhi ya machapisho ya kitaalamu ya sekta ya Ujenzi yanayotolewa na Baraza la Taifa la Ujenzi kutoka kwa  Mhandisi Julius Mwita.  Wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Ujenzi wakitoa maelezo ya shughuli za Baraza kwa Wahandisi waliotembelea katika banda la (NCC).  Wa kwaza kulia ni Afisa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri apiga marufuku wahandisi ‘Uchwara’ kupewa tenda za ujenzi wa Barabara

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto), akitoa maagizo mbalimbali kwa uongozi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini, alipotembelea bodi hiyo, Dar es Salaam juzi, kujua utendaji wake. Kulia ni Meneja wa bodi hiyo, Joseph Haule. (HABARI,PICHA NA RICHARD MWAIKENDA-KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Mhandisi Edwin Ngonyani.

Na Richard Mwaikenda

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, amepiga marufuku kwa Halmashauri zote...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahandisi nchini waonywa

Wahandisi na mafundi nchini wameonywa kutokubali kutumiwa na wanasiasa badala yake wafanye kazi kwa uadilifu na kwa kuzingatia taaluma zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Wahandisi nchini watahadharishwa

Wahandisi nchini wamekumbushwa kuwa makini kwa kutambua viashiria vya hatari na hasara zinazoweza kutokea katika miradi mbalimbali ya ujenzi wanayoisimamia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani