Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waislamu UK:Wapinga mauaji ya C Hebdo

Idadi kubwa ya waislamu nchini Uingereza wanapinga ghasia dhidi ya watu waliochapisha vibonzo vya kumdhalilisha mtume Mohammed

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya wanafunzi waislamu yazua hisia

Maafisa wa polisi mjini Carolina kazkazini wamemkamata mtu mmoja baada ya wanafunzi watatu waislamu kupatikana wamefariki

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapinga watuhumiwa wa mauaji kukamatwa

JESHI la polisi wilayani hapa Mkoa wa Mbeya, juzi lililazamika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa Kata ya Lwanga, walioandamana wakishinikiza kuachiwa watuhumiwa wa mauaji ya Gabriel Mwandemwa (40),...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wapinga mauaji ya washukiwa Garissa

Wakaazi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamevishtumu vikosi vya usalama kwa kuwaua washukiwa wa ugaidi.

 

10 years ago

TheCitizen

Lesson for Africa from ‘Charlie Hebdo’

The first issue of the French satirical magazine Charlie Hebdo to be published since a jihadist attack at its Paris office in which 12 people, including nine of its journalists, were killed sold out within minutes across France on Wednesday, various media reported.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waisilamu waandamana dhidi ya C.Hebdo

Polisi nchini Pakistan wamekabiliana na waandamanaji, walioghadhabishwa na uamuzi wa jarida na Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha vibonzo vya mtu wanayedai ni Mtume Mohammad.

 

10 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa Charlie Hebdo wazingirwa

Milio ya risasi imesikika na kuna ripoti huku maafisa wa polisi wa Ufaransa wakiwazingira washukiwa wa Charlie Hebdo

 

10 years ago

BBC

Charlie Hebdo banned in Senegal

Senegal bans the distribution of French satirical magazine Charlie Hebdo which contains a controversial cartoon of Prophet Muhammad.

 

9 years ago

TheCitizen

Charlie Hebdo marks year since attack

French satirical weekly Charlie Hebdo will mark a year since the jihadist attack on its offices with a cover featuring a bloodied, gun-toting, bearded God figure, under the headline: “One year on: The assassin still at large”.

 

10 years ago

BBCSwahili

Charlie Hebdo:Makanisa yachomwa Niger

Ripoti za Niger zinasema makanisa matatu yamechomwa katika mji mkuu wa Niamey dhidi ya uchapishaji wa vibonzo vya mtume Mohammed

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani