Waisilamu waandamana dhidi ya C.Hebdo
Polisi nchini Pakistan wamekabiliana na waandamanaji, walioghadhabishwa na uamuzi wa jarida na Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha vibonzo vya mtu wanayedai ni Mtume Mohammad.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Waandamana dhidi ya Al-shabaab Garissa
Wananchi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamefanya maandamano kupinga vitendo vya kundi la Al Shabaab,
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Wayahudi waandamana dhidi ya wanamgambo
Maelfu ya watu nchini Israeli wameshiriki kwenye maandamano wakiitaka serikali kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya Wayahudi wanaotajwa kuwa wanamgambo.
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Raia waandamana dhidi ya Houthi Yemen
Maelfu ya watu wameingia katika mitaa ya mji wa Yemen Sanaa katika maandamano ya kupinga waasi wa kishia wa Houthi
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Raia wa Burundi waandamana dhidi ya rais
Polisi nchini Burundi wamerusha vitoa machozi na maji, ili kuwatawanya mamia ya waandamanaji katika mji mkuu Bujumbura.
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Raia waandamana dhidi ya Umoja wa Mataifa-Juba
Raia wa Sudan Kusini wameandamana mjini Juba dhidi ya Umoja wa Mataifa wakiishutumu kwa kuwapa waasi silaha
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Waisilamu wakimbilia usalama CAR
Wanajeshi wa Ufaransa na Umoja wa Afrika wameusindikiza msafara wa Waislamu zaidi ya Elfu Moja waliokuwa wanaondoka mjini Bangui katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
11 years ago
BBCSwahili24 Feb
Waisilamu watoroka mashambulizi CAR
Zaidi ya wakimbizi 2000 Waislamu kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati wamefika Cameroon baada ya kukimbia mzozo wa kidini unaoendelea nchini mwao.
11 years ago
BBCSwahili16 Apr
Waisilamu hawatapelelezwa tena New York
Idara ya polisi mjini New York Marekani, imefunga kitengo chake maalum cha kuwapepeleza waisilamu ili kuchunguza kama kuna tisho lolote la ugaidi.
11 years ago
BBCSwahili06 Jun
Kiongozi wa waisilamu afariki Nigeria
Kiongozi wa waisilamu katika jimbo la Kano nchini Ngeria, Emir Al-Haji Ado Bayero, amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania