Raia wa Burundi waandamana dhidi ya rais
Polisi nchini Burundi wamerusha vitoa machozi na maji, ili kuwatawanya mamia ya waandamanaji katika mji mkuu Bujumbura.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Raia waandamana dhidi ya Houthi Yemen
Maelfu ya watu wameingia katika mitaa ya mji wa Yemen Sanaa katika maandamano ya kupinga waasi wa kishia wa Houthi
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Raia waandamana dhidi ya Umoja wa Mataifa-Juba
Raia wa Sudan Kusini wameandamana mjini Juba dhidi ya Umoja wa Mataifa wakiishutumu kwa kuwapa waasi silaha
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Maandamano yazuka dhidi ya rais Burundi
Kumezuka ghasia katika mji wa Bujumbura nchini Burundi kati ya maafisa wa polisi na waandamanaji wanaoishtumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Raia wa Jordan waandamana kupinga IS
Maelfu ya raia wa Jordan wameandamana mjini ,Amman,wakiunga mkono serikali yao katika vita dhidi ya kundi la Islamic State
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
Mubarak:Raia waandamana Misri
Vikosi vya usalama nchini Misri vimepambana na waandamanaji 2000 karibu na eneo la Tahrir Square mjini Cairo.
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Raia waandamana kupinga ugaidi Tunisia
Tunisia inasema kuwa askari wa usalama wamemuuwa kiongozi wa kundi la wapiganaji, lilohusika na shambulio la makavazi
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Waisilamu waandamana dhidi ya C.Hebdo
Polisi nchini Pakistan wamekabiliana na waandamanaji, walioghadhabishwa na uamuzi wa jarida na Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha vibonzo vya mtu wanayedai ni Mtume Mohammad.
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Waandamana dhidi ya Al-shabaab Garissa
Wananchi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamefanya maandamano kupinga vitendo vya kundi la Al Shabaab,
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Wayahudi waandamana dhidi ya wanamgambo
Maelfu ya watu nchini Israeli wameshiriki kwenye maandamano wakiitaka serikali kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya Wayahudi wanaotajwa kuwa wanamgambo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania