Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali 21 washiriki gulio la mauzo

WAJASILIAMALI 21 wamejitokeza kushiriki kwenye gulio la mauzo la bidhaa mbalimbali la siku mbili lililofanyika katika fukwe ya Coco kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo. Gulio hilo la siku mbili lilianza juzi na kumalizika jana ambapo lilishirikisha wajasiliamali mbalimbali wenye maduka Kariakoo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Vodacom yaleta gulio jingine la mauzo ya bidhaa za Mawasiliano

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kutangaza gulio la bidhaa za mawasiliano ikiwemo simu na ipad za kisasa lililoandaliwa na kampuni yake Juni 28 na 29 katika viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu. Hii ni mara ya pili kwa Vodacom kuandaa gulio la aina hiyo ikiwahusisha watengeneza bidhaa za simu za mkononi.
Kampuni ya Mawasiliano ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar

Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).

2

Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.

Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

 Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF) Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiliamali shamimu mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo jokate mwegelo. Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF)kushoto Hadji...

 

10 years ago

Michuzi

GULIO LA VODACOM KUFIKIA TAMATI KESHO

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Jessam Jeremia akiwapa maelekezo baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika kwenye gurio la “Vodacom expo” lilioandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwauzia bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu.Gurio hilo linafanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliofika kwenye viwanja vya Kijitonyama kwenye gurio la Vodacom Expo wakionyeshwa baadhi ya simu na...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wakaskazini wanufaika na Gulio la Vodacom Tanzania

 Afisa Mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha  Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo  wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za bidhaa za Mawasiliano   lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika siku mbili katika uwanja wa Sheakh  Amri Abeid jijini Arusha. Afisa huduma kwa wateja wa Duka la  Vodacom jijini Arusha,Samya Ulimwengu  akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banda lao   kujipatia huduma za mawasiliano ambazo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini gulio la Annual Charity Baazar

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari wakati wa gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii, Tigo ni wadhamini wa gulio hilo.

Mtoa huduma wa Tigo, Khalid Omary akitoa huduma kwa wateja wa Tigo kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii. Watoa huduma wa Tigo, Joshua Samuel na Judith Alfred wakitoa huduma kwa mteja...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAFURAHIA GULIO LA VODACOM EXPO

Afisa wa mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za simu za mkononi lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika katika uwanja wa Sheakh
Amri Abeid jijini Arusha.Kikundi cha sanaa kikionesha umahiri katika uchezaji wa sarakasi.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA KASKAZINI WANUFAIKA NA GULIO LA VODACOM TANZANIA‏

Ofisa Mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha, Martha Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za bidhaa za Mawasiliano lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika siku mbili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini uzinduzi wa Rocky City Mall: Kufanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali Mwanza

kinabo (3)

Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa, Beatrice Kinabo, akifafanua jambo kwa waandishi wa  habari jijini Mwanza jana, ambapo jengo la kimataifa la biashara(Rock City Mall) limekamilika na Tigo  watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali,kushoto  ni Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City Commercial Complex Company Limited Joseph Mlinzi na kulia ni Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry.

meneja tigo pesa kanda ya ziwa (1)

Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa  Orry, akizungumza na waandishi wa habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani