WAJERUHIWA KATIKA VURUGU DUMILA
![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoZefsVrV1jeDl3q3L1eZttEdsXKxfG5EBM1JJoBE95USQ17lYZ*exopHqMEk7YZwSMne0sx1ljnpAHUwfxcRdJ7/breakingnews.gif)
Na Dunstan Shekidele, GPL, MOROGORO WATU kadhaa wamejeruhiwa katika vurugu zilizotokea jioni hii huko Dumila mkoani Morogoro kati ya wakulima na wafugaji ambapo polisi wameingilia kati na kutumia mabaomu ya machozi kutuliza ghasia hizo. Chanzo cha vurugu hizo kinadaiwa kuwa ni kukatwa mkono kwa mkulima mmoja aishiye Kijiji cha Mketeni wilayani Kiloasa wakati akibishana na… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWATU 9 WAJERUHIWA KATIKA VURUGU KATI YA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA MBEYA MJINI NA WAFUASI WA CCM
10 years ago
CloudsFM10 Dec
VURUGU ZAFUNGA BARABARA DUMILA, MOROGORO
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa Dumila na Mbigiri wilayani Kilosa mkoani Morogoro baada ya kufunga barabara ya Morogoro Dodoma kwa kutumia mawe na kuchoma matairi barabarani katika eneo la Dumila na kusababisha abiria wanaotumia barabara ya Morogoro Dodoma kukosa mawasiliano kwa zaidi ya masaa sita.
Vurugu hizo zilidumu kwa muda mrefu na juhudi za kudhibiti wakulima hao zimechukua muda baada ya askari wachache wa kituo cha Dumila kuonekana...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vmSCjfwaT_Y/VVBNx6yV-8I/AAAAAAAHWlo/eegjN9HMDcg/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-11%2Bat%2B9.34.04%2BAM.png)
WATU KUMI NA TANO WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KATIKA BARABARA YA NJOMBE/MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-vmSCjfwaT_Y/VVBNx6yV-8I/AAAAAAAHWlo/eegjN9HMDcg/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-11%2Bat%2B9.34.04%2BAM.png)
AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO TAREHE 10.05.2015 MAJIRA YA SAA 20:10...
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
10 wajeruhiwa katika shambulio Kenya
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
8 wajeruhiwa katika mlipuko Arusha,TZ
11 years ago
BBCSwahili23 May
2 wajeruhiwa katika mlipuko Mombasa
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Polisi 70 wajeruhiwa katika maandamano Ujerumani
10 years ago
Habarileo06 Dec
Wawili wajeruhiwa na polisi katika tukio la fumanizi
VIJANA wawili wakazi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama baada ya kupigwa na polisi wa Kituo Kikuu cha Wilaya, waliokuwa wakimwokoa askari mwenzao aliyefumaniwa akiwa na mke wa mmoja wa vijana hao kwenye hoteli moja mjini hapa.
10 years ago
Habarileo13 Jun
Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida
WATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.