Wajipanga kupunguza vifo
Mkoa wa Mara umeanza kuchukua hatua mbalimbali za kupambana na ongezeko la vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Polisi wajipanga kupunguza ajali
JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa limeweka mikakati ya kupunguza ajali za barabarani zinazozidi kuongezeka kutokana na uzembe wa madereva wachache mkoani hapa. Akizungumza na Tanzania...
10 years ago
Habarileo14 Feb
Zanzibar kupunguza vifo vya wajawazito
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema suala la kuimarisha maisha ya jamii na kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito na watoto wachanga ni miongoni mwa masuala muhimu.
10 years ago
Habarileo18 Sep
Amref kusaidia kupunguza vifo vya wajawazito
SHIRIKA la Amref Health Africa Tanzania limepanga kuwapatia mafunzo wakunga 3,800 nchini ifikapo mwaka 2015/2016.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Wizara yapongezwa kupunguza vifo vya wajawazito
SERIKALI imeipongeza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kutimiza malengo ya kupunguza idadi ya vifo vya mama na mtoto kabla ya muda uliowekwa wa Malengo ya Maendeleo ya...
11 years ago
MichuziZanzibar yajivunia kupunguza vifo vya uzazi
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Singida wafanikiwa kupunguza vifo vya uzazi
Kaimu mganga mkuu mkoa wa Singida, Dk.Ernest Mgeta, akitoa taarifa yake kwenye uzinduzi mpango mkakati wa mkoa wa Singida wa kuongeza kasi ya kupunguza vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini Singida.Wa kwanza kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone na anayefuata ni kaimu katibu tawala mkoa wa Singida, Marando.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKOA wa Singida umefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama...
10 years ago
Habarileo12 Dec
RC: Ongezeko watumiaji wa uzazi wa mpango kupunguza vifo
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ongezeko la watumiaji wa huduma ya uzazi wa mpango nchini utachangia kupunguza vifo vya akina mama na watoto vitokanavyo na uzazi.
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
‘Kupunguza vifo vya wajawazito hakuhitaji serikail tatu’
MKURUGENZI wa Taasisi ya Evidence for Action (E4A), Graig Ferla, amesema suala la vifo vya wajawazito na watoto wachanga nchini halihitaji serikali tatu. Akizungumza na wahariri na waandishi wa habari...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4RC4MMdBU8k/U4gniqXrGcI/AAAAAAAFmcY/S8DsQkNmlP8/s72-c/unnamed+(29).jpg)
Tanzania yafanikiwa kufanikisha lengo la kupunguza vifo vya watoto - JK
![](http://2.bp.blogspot.com/-4RC4MMdBU8k/U4gniqXrGcI/AAAAAAAFmcY/S8DsQkNmlP8/s1600/unnamed+(29).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Nd3LTJ7vXro/U4gnitQfoMI/AAAAAAAFmcU/qYEAWBssCG4/s1600/unnamed+(31).jpg)