Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe washauri kuweka pembeni itikadi za vyama

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Josephine Chagula, amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuweka pembeni tofauti zao za vyama na badala yake wajadili mambo yenye maslahi kwa taifa. Akizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Afande Sele kuweka muziki pembeni, kugeukia kilimo

Afande-Sele-nzuri_fullMsanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amesema ameamua kuweka muziki pembeni ili kujikita kwenye kilimo na ufugaji. Rapper huyo wa ‘Darubini Kali’, aliyeshindwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Morogoro mjini kupitia chama cha ACT, ameiambia Bongo5 kuwa anaamini hawezi kufanya muziki wa kibiashara utakaomlipa kutokana na kuwagawa mashabiki wake kupitia siasa. […]

 

9 years ago

Michuzi

MASHABIKI WA WASANII WAMETAKIWA KUONDOA ITIKADI ZA VYAMA ZILIZOTOKANA NA KAMPENI

 Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiSHIRIKISHO la Wasanii nchini  wamewataka mashabiki wao kuondoa tofauti  za kiitikadi ambazo zilijitokeza  katika kampeni waendelee kuwaunga mkono.


Akizungumza na waandishi wa habari,mmoja wa msanii, Stara Thomas amesema kila watu walikuwa na itikadi katika kampeni hivyo ni wakati mwafaka wa kufanya kazi.


Stara amesema wameshiriki katika kampeni zimeisha sasa ni wakati kushiriki katika majukumu kama wasanii.


Hata hivyo amesema wanapongeza Rais wa Awamu ya Tano,...

 

11 years ago

Michuzi

MSIBA WA KADA WA CHADEMA KALOLO, VYAMA VYAWEKA UPINZANI PEMBENI NA KUFANYA MAZISHI YA KIHISTORIA

Diwani wa kata ya Mvinjeni Frank Nyalusi Chadema akiweka udongo Ndugu  wakiweka mashada Ndugu wa kalolo kutoka Kenya  akiweka shada Kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas akiweka  shada la maua  katika kaburi la kada maarufu wa Chadema mkoa wa Iringa Gervas Kalolo  wakati wa mazishi  yaliyofanyika makaburi ya Mtwivila mjini Iringa Mstahiki meya  Amani Mwamwindi  akiweka  shada la maua.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Vyama vya siasa vyatakiwa kuweka utaifa mbele



Vyaonywa maslahi ya vyama yataiweka nchi pabaya
NA KHADIJA MUSSA
VIONGOZI wa vyama vya siasa watakaokwenda kukutana na Rais Jakaya Kikwete, wametakiwa kuweka mbele masuala yanayohusu taifa na si misimamo binafsi ya vyama vyao.
Aidha wasomi nchini wamempongeza Rais Kikwete kwa kukubali kukutana na viongozi wa vyamaa hivyo vya siasa kwa kuwa ni ishara nzuri kwa kiongozi wa nchi kutokuwa na ubaguzi hata kwa watu wasiomuunga mkono.
Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukubali...

 

10 years ago

Michuzi

VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUWEKA VIPENGELE VYA WATOTO KWENYE ILANI ZAO.



Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

VYAMA vya Siasa nchini katika kuelekea Uchaguzi Mkuu vimetakiwa katika ilani zao, kuweka vipengele vya watoto kutokana na kuwepo kwa sheria kandamizi dhidi ya mtoto.


Hayo wameyasema watoto wakati wa mkutano uliondaliwa na Shirika la Save the Children kupitia Ajenda ya Mtoto inayoshirikisha mashirika 30 yanayojighulisha na masuala ya watoto kwa kuwakutanisha viongozi wa vyama vya siasa na watoto ,katika kujadili nafasi ya mtoto katika ilani zao kuelekea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani