MASHABIKI WA WASANII WAMETAKIWA KUONDOA ITIKADI ZA VYAMA ZILIZOTOKANA NA KAMPENI
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiSHIRIKISHO la Wasanii nchini wamewataka mashabiki wao kuondoa tofauti za kiitikadi ambazo zilijitokeza katika kampeni waendelee kuwaunga mkono.
Akizungumza na waandishi wa habari,mmoja wa msanii, Stara Thomas amesema kila watu walikuwa na itikadi katika kampeni hivyo ni wakati mwafaka wa kufanya kazi.
Stara amesema wameshiriki katika kampeni zimeisha sasa ni wakati kushiriki katika majukumu kama wasanii.
Hata hivyo amesema wanapongeza Rais wa Awamu ya Tano,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Wajumbe washauri kuweka pembeni itikadi za vyama
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Josephine Chagula, amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuweka pembeni tofauti zao za vyama na badala yake wajadili mambo yenye maslahi kwa taifa. Akizungumza na...
11 years ago
Habarileo10 May
Vyama kuondoa makundi Bunge Maalum
VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini wameanza kujadili namna ya kuondoa makundi katika Bunge maalumu la Katiba kwa njia ya mazungumzo, yakielezwa ndivyo yanayosababisha migogoro iliyopo.
9 years ago
Bongo518 Sep
Wakazi: Mil20 za kufanya kampeni si kitu ukilinganisha na sera nzuri zitakazonipa mil200’, adai hashangai wasanii kutumika kwenye kampeni (Video)
9 years ago
Bongo520 Nov
BASATA yawapiga msasa viongozi wa vyama vya wasanii
![DSC_0122](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/DSC_0122-300x194.jpg)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika maeneo mbalimbali viongozi wa vyama na taasisi zinazojihusisha na wasanii ili kujenga ufanisi zaidi katika sekta ya Sanaa.
Katibu Mkuu wa BASATA, Godfrey Mngereza
Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku tatu kuanzia Jumanne hadi Alhamisi ya wiki hii yalijikita katika kuwajengea uwezo Wasanii kwenye maeneo ya uandaaji bajeti, uandaaji wa mipango mikakati na sheria ya hakimiliki na hakishiriki na mikataba kwenye...
9 years ago
Bongo508 Dec
Vanessa Mdee: Mashabiki msitushindanishe wasanii, mnatukosanisha!
![vanessa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/vanessa-300x194.jpg)
Mwanadada anayefanya vizuri na kibao, ‘Never Ever’, Vanessa Mdee amewataka mashabiki kuacha tabia ya kuwashindanisha wasanii au kuwagandamiza ili mmoja wao aonekane yupo juu.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, Vanessa alisema kila msanii ana nafasi yake katika muziki ndio maana ni vigumu kuwalinganisha.
“Kuna baadhi ya mashabiki siyo wote, wenye tabia ya kugandamiza wasanii. Tabia ya kupambanisha wasanii kwa sababu wana kitu fulani au ambao wanafanya kitu similar hii...
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Hongera vyama kwa kampeni za kistaarabu
9 years ago
Bongo516 Oct
BASATA yawashauri wasanii kuwa makini na mashabiki wao
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Vyama vinne havijaanza kampeni Dodoma Mjini
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Sep
Msajili wa vyama aonya matusi katika kampeni.
NA ELIZABETH ZAYA 8th September 2015 Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini, imesema itakichukulia hatua chama chochote ambacho kitabainika kutumia lugha za matusi katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini kwa sasa. Akizungumza na waandishi […]
The post Msajili wa vyama aonya matusi katika kampeni. appeared first on Mzalendo.net.